ooh mmeanzaAnapoteza muda SGR na Bwawa la umeme vinamsumbiria, afanye mambo kwa focus issue za katiba hawezi anasumbuka bure
Wale wapinzani woote wa katiba Mpya.....kimyaaaa😅😅😅Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia.
Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu wavuruge mchakato.
Nashangaa itakuwa maajabu Sana Kama katiba yetu wajadili watu wajingaKwa vilaza waliopo bungeni ndio wajadil mchakato???
😅😅😅😅Kwa vilaza waliopo bungeni ndio wajadil mchakato???
Wabunge wa mwendazake😅😅Nashangaa itakuwa maajabu Sana Kama katiba yetu wajadili watu wajinga
... never ever! Kama tunategemea wanaonufaika moja kwa moja na Katiba iliyopo watatupatia Katiba bora hizo ni ndoto za alinacha!Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia.
Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu wavuruge mchakato.
Una uhakika kupata katiba itakayopunguza madaraka ya viongozi kwa kutumia wanaotafuta uongozi huo huo? Mfano tunatumai kupata katiba ambayo itapunguza madaraka ya Rais! Je, Rais atakubali kusaini katiba itakayotaka Rais ashitakiwe kwa makosa aliyoyatenda akiwa Ofisini? Je, wabunge watakubali kipengele cha Waziri asiwe mbunge wakati wao wanagombea Ubunge ili wawe mawaziri? Tafakari kuhusu uchaguzi huru iwapo tunasema wabunge waliingia kwa kupitia uchaguzi Usio huru na haki?Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia.
Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu wavuruge mchakato.
Thanks! Cheki namba 12... never ever! Kama tunategemea wanaonufaika moja kwa moja na Katiba iliyopo watatupatia Katiba bora hizo ni ndoto za alinacha!
Kwanini mnataka kuwapa mzigo wananchi kwa matumizi yasiyo ya lazima? Rasimu ya Warioba iliyotokana na wananchi ipo mnaogopa nini kuanzia hapo?Je Rasimu ya Jaji Warioba au tuanze upya?
Tunataka kuwapa mzigo wananchi kwasababu katiba hii ni ya Wananchi.Kwanini mnataka kuwapa mzigo wananchi kwa matumizi yasiyo ya lazima? Rasimu ya Warioba iliyotokana na wananchi ipo mnaogopa nini kuanzia hapo?
Wananchi walishatoa maoni yao hamkuyapenda sasa mnataka kulazimisha matakwa yenu kupitia kwa watu wenu mliowachagua halafu muhalalishe kuwa katiba ya wananchi!Tunataka kuwapa mzigo wananchi kwasababu katiba hii ni ya Wananchi.