imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Maoni hayo huenda yamepitwa na wakati,hakuna ubaya wowote kuanza kuchukua maoni mapya.Wananchi walishatoa maoni yao hamkuyapenda sasa mnataka kulazimisha matakwa yenu kupitia kwa watu wenu mliowachagua halafu muhalalishe kuwa katiba ya wananchi!