Mama katangaza mchakato wa katiba mpya; Tanzania yote ina furaha

Anapoteza muda SGR na Bwawa la umeme vinamsumbiria, afanye mambo kwa focus issue za katiba hawezi anasumbuka bure
Kuana machawa wanamshauri ili kuzika legacy ya marehemu atangaze katiba .sasa hela italiwa na hiyo katiba hataipatikana tusubiri tuone jinsi atakvyotawanya kodi zetu
 
CCM hawana nia ya dhati na serikali tatu, huo mchakato utakuwa uchwara kama yalivyo maridhiano na walamba asali wa saccos.
Watu wataka kupiga hizo posho za huo mchakato, halafu wasusie vikao mwishoni. Hizo bajeti za huo mchakato ni bora mmalizie miradi ya kimkakati inayosuasua.
 
Mchanganyiko lazima uwepo Mama atateua wawakilishi wa makundi tofauti wenye uzalendo.
 
Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu wavuruge mchakato.
Aliyevuruga rasimu ya Warioba ni Mkwere na genge lake this time awapishe wengine
 
Na sasa tupate KATIBA ya wananchi na sio ya wana siasa.Ikiwa ya wananchi Ujue Taifa linakwenda kupaa,kinyume na hapo ni sifuri.
 
MAMA ni Shujaa kwani Wanaume waliomtangulia Walishindwa yupo mmoja alianzisha mchakato lakini wakina Wassira Wakampotosha yupo mwingine yeye ndio Hakuitaka kabisa KATIBA MPYA
 

Me nafikiri kutakuwa na Bunge la Katiba tofauti na Bunge hili la kawaida!! Maana hata Rasimu ya Katibu ya Warioba nayo walikaa kama bunge kwa kuwa na wawakilishi kutoka sehemu tofauti tofauti ila kufanya maamuzi!!
 
Uongozi wa mama utakumbukwa daima ameonyesha ukomavu sana kisiasa. 2025 hakuna mpinzani, tumeshaumizwa Sana na siasa za kiimla
 
Me nafikiri kutakuwa na Bunge la Katiba tofauti na Bunge hili la kawaida!! Maana hata Rasimu ya Katibu ya Warioba nayo walikaa kama bunge kwa kuwa na wawakilishi kutoka sehemu tofauti tofauti ila kufanya maamuzi!!
Neutrality inatakiwa ujue. Je utaipataje kama hilo Bunge lisipowekewa sheria? Unafahamu hata Kenya Kiongozi wa mchakato hakuwa mkenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…