Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
tyr unamimba unataka mtalimbo wa nn??au unataka zao limwagiliwe listawi vzr??Hellow jf,kabla sijabeba ujauzito nilikua napenda sana sex yani ikipita week tu nashikwa na hamu nikifikisha mwezi hapo nakua na hamu kuliko kawaida but tangu niwe mjamzito sijisikii kabisa yani hata hamu sinaa,miezi inakatika but sitamani wala sifikirii kabisa kuhusu sex sina hamu hata kidogo,hivi ni nini hasa hupelekea hii hali maana mwanzo nilikua napenda sana but tangu ninase preg walaaa sihitaji.
Hellow jf,kabla sijabeba ujauzito nilikua napenda sana sex yani ikipita week tu nashikwa na hamu nikifikisha mwezi hapo nakua na hamu kuliko kawaida but tangu niwe mjamzito sijisikii kabisa yani hata hamu sinaa,miezi inakatika but sitamani wala sifikirii kabisa kuhusu sex sina hamu hata kidogo,hivi ni nini hasa hupelekea hii hali maana mwanzo nilikua napenda sana but tangu ninase preg walaaa sihitaji.
Haha [emoji23]Itakua ni ujauzto wa mtoto wa kiume tu huyo anaona wivu mshua anafaid
Mkuu umen quote wrong,ni kwamba sitaki kabisa dyudyu na sina hamu ya kusex hata kidogo tangu niwe mjamzito hakuna siku nimejisikia ham ya kusex feeling zimekata kabisaaatyr unamimba unataka mtalimbo wa nn??au unataka zao limwagiliwe listawi vzr??
kawaida mwanamke anapokuwa amekalibia siku zake za hatari huwa ana hamu cna na dudu na ham inaongezeka mara dufu hyo nikawaida.lea mimba tu achana na dudu kw sasa
Teh teh teh,Mkuu rejea kwa post yangu utanielewa yan ni kwamba sina ham ya kusex hata kidogoo tangu mimba ishike mpaka sasapole kumbe bado wataka
vp mbna uli block conservation
Kwa upande wake yeye sielewi maana sipo karibu nae pia tangu na mimba before hatujawa na kwaro feeling kwake zilikata hata yeye tu nilikua sipendi niwe nae karibu even akinigusa or nikimwona nilikua naona kero tu,na hata before hatujablock communication daily ulikua ni ugomvi tu na hata sasa sitamani hata kumwonaaa.Vp na mwenzio nae...
Teh teh teh teh,lets wait time will tellItakua ni ujauzto wa mtoto wa kiume tu huyo anaona wivu mshua anafaid
bc itakuwa hormones na zenyewe zimekata za kukuletea ham baada ya mimba sidhani km ni tatizo.na hongera kwa kupata ujauzito hilo ndo muhimMkuu umen quote wrong,ni kwamba sitaki kabisa dyudyu na sina hamu ya kusex hata kidogo tangu niwe mjamzito hakuna siku nimejisikia ham ya kusex feeling zimekata kabisaaa
Hamu utaipata wapi na kibamia kilikuwa hakikukojozi zaidi ya kukwaruza tu.πsitamani wala sifikirii kabisa kuhusu sex sina hamu hata kidogo
Teh teh teh si kweliHamu utaipata wapi na kibamia kilikuwa hakikukojozi zaidi ya kukwaruza tu.π
Ok mkuu..ahsanteeebc itakuwa hormones na zenyewe zimekata za kukuletea ham baada ya mimba sidhani km ni tatizo.na hongera kwa kupata ujauzito hilo ndo muhim
Huyo mtoto atafanana na baba yake lazima, maana hizo dalili si mchezoKwa upande wake yeye sielewi maana sipo karibu nae pia tangu na mimba before hatujawa na kwaro feeling kwake zilikata hata yeye tu nilikua sipendi niwe nae karibu even akinigusa or nikimwona nilikua naona kero tu,na hata before hatujablock communication daily ulikua ni ugomvi tu na hata sasa sitamani hata kumwonaaa.
Duuuuh,kwa hiyo hizo dalili ndo za mtoto kufanana na baba yake?Huyo mtoto atafanana na baba yake lazima, maana hizo dalili si mchezo
Pole cn lkn ukisex ukiw ivo una harb mtttyr unamimba unataka mtalimbo wa nn??au unataka zao limwagiliwe listawi vzr??
kawaida mwanamke anapokuwa amekalibia siku zake za hatari huwa ana hamu cna na dudu na ham inaongezeka mara dufu hyo nikawaida.lea mimba tu achana na dudu kw sasa