Mama kijacho kukosa hamu ya kusex

Mama kijacho kukosa hamu ya kusex

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,024
Hellow jf,kabla sijabeba ujauzito nilikua napenda sana sex yani nikifikisha mwezi or miezi sijasex hapo nakua na hamu kuliko kawaida but tangu niwe mjamzito sijisikii kabisa yani hata hamu sinaa,miezi inakatika but sitamani wala sifikirii kabisa kuhusu sex sina hamu hata kidogo,hivi ni nini hasa hupelekea hii hali maana mwanzo nilikua napenda sana but tangu ninase preg walaaa sihitaji.
 
Hellow jf,kabla sijabeba ujauzito nilikua napenda sana sex yani ikipita week tu nashikwa na hamu nikifikisha mwezi hapo nakua na hamu kuliko kawaida but tangu niwe mjamzito sijisikii kabisa yani hata hamu sinaa,miezi inakatika but sitamani wala sifikirii kabisa kuhusu sex sina hamu hata kidogo,hivi ni nini hasa hupelekea hii hali maana mwanzo nilikua napenda sana but tangu ninase preg walaaa sihitaji.
tyr unamimba unataka mtalimbo wa nn??au unataka zao limwagiliwe listawi vzr??

kawaida mwanamke anapokuwa amekalibia siku zake za hatari huwa ana hamu cna na dudu na ham inaongezeka mara dufu hyo nikawaida.lea mimba tu achana na dudu kw sasa
 
pole kumbe bado wataka

vp mbna uli block conservation
 
tyr unamimba unataka mtalimbo wa nn??au unataka zao limwagiliwe listawi vzr??

kawaida mwanamke anapokuwa amekalibia siku zake za hatari huwa ana hamu cna na dudu na ham inaongezeka mara dufu hyo nikawaida.lea mimba tu achana na dudu kw sasa
Mkuu umen quote wrong,ni kwamba sitaki kabisa dyudyu na sina hamu ya kusex hata kidogo tangu niwe mjamzito hakuna siku nimejisikia ham ya kusex feeling zimekata kabisaaa
 
Vp na mwenzio nae...
Kwa upande wake yeye sielewi maana sipo karibu nae pia tangu na mimba before hatujawa na kwaro feeling kwake zilikata hata yeye tu nilikua sipendi niwe nae karibu even akinigusa or nikimwona nilikua naona kero tu,na hata before hatujablock communication daily ulikua ni ugomvi tu na hata sasa sitamani hata kumwonaaa.
 
Mi hilo hata sishangai ila nashangaa mjamzito tumbo kuwa kubwa😀
 
Kwa upande wake yeye sielewi maana sipo karibu nae pia tangu na mimba before hatujawa na kwaro feeling kwake zilikata hata yeye tu nilikua sipendi niwe nae karibu even akinigusa or nikimwona nilikua naona kero tu,na hata before hatujablock communication daily ulikua ni ugomvi tu na hata sasa sitamani hata kumwonaaa.
Huyo mtoto atafanana na baba yake lazima, maana hizo dalili si mchezo
 
tyr unamimba unataka mtalimbo wa nn??au unataka zao limwagiliwe listawi vzr??

kawaida mwanamke anapokuwa amekalibia siku zake za hatari huwa ana hamu cna na dudu na ham inaongezeka mara dufu hyo nikawaida.lea mimba tu achana na dudu kw sasa
Pole cn lkn ukisex ukiw ivo una harb mtt
 
Back
Top Bottom