Mama kijacho kukosa hamu ya kusex

Mama kijacho kukosa hamu ya kusex

Hongera,umebeba kidume thus why coz mimba nyingi za watoto wa kiume hamu ya kufanya mapenzi huwa inapungua sana tofauti na mimba ya mtoto wa kike ambapo hamu ya kufanya mapenzi huongezeka..so usijali its normal ukijifungua utakua normal as before.
 
Uliisimamia na ukaibana kwangwaruuu hadi ikakatikia ndani...Sasa utasikia hamu yaaje na kipande kilibaki na kinaumukia tumboni?
 
Hongera,umebeba kidume thus why coz mimba nyingi za watoto wa kiume hamu ya kufanya mapenzi huwa inapungua sana tofauti na mimba ya mtoto wa kike ambapo hamu ya kufanya mapenzi huongezeka..so usijali its normal ukijifungua utakua normal as before.
Ahsante,nimekuelewa.
 
Hata mie nakubaliana nawe .... coz pana demu alipewa mimba afu jamaa kamkimbia .... nilipompa msaada tu kaniganda haswa .... akanipenda kupindukia na akawa anataka nimtie karibu kila cku
Mmmmh!
 
Hiyo ni hali ya kawaida inayosababishwa na mabadiliko ya homoni, ungesema mimba ina miezi mingapi ningelzea kwa kina changes zinazojitokeza mwilini
Take care mummy!
 
Hellow jf,kabla sijabeba ujauzito nilikua napenda sana sex yani nikifikisha mwezi or miezi sijasex hapo nakua na hamu kuliko kawaida but tangu niwe mjamzito sijisikii kabisa yani hata hamu sinaa,miezi inakatika but sitamani wala sifikirii kabisa kuhusu sex sina hamu hata kidogo,hivi ni nini hasa hupelekea hii hali maana mwanzo nilikua napenda sana but tangu ninase preg walaaa sihitaji.
katengeneze njia ya mtoto kupita aisee
 
Una mapepo, njoo tuyatoe
 
Back
Top Bottom