Mama kijacho kukosa hamu ya kusex

Mama kijacho kukosa hamu ya kusex

Hellow jf,kabla sijabeba ujauzito nilikua napenda sana sex yani nikifikisha mwezi or miezi sijasex hapo nakua na hamu kuliko kawaida but tangu niwe mjamzito sijisikii kabisa yani hata hamu sinaa,miezi inakatika but sitamani wala sifikirii kabisa kuhusu sex sina hamu hata kidogo,hivi ni nini hasa hupelekea hii hali maana mwanzo nilikua napenda sana but tangu ninase preg walaaa sihitaji.
Wakwangu alipokuwa na mimba alikuwa anataka kila Mara,hivyo kipindi ana ujauzito nahisi nilifanya sana mapenzi nae hata kuliko kipindi cha uchumba Wa miaka miwili
 
Wakwangu alipokuwa na mimba alikuwa anataka kila Mara,hivyo kipindi ana ujauzito nahisi nilifanya sana mapenzi nae hata kuliko kipindi cha uchumba Wa miaka miwili
Bhasi mie kwangu ni tofauti sababu sina hamu ya kusex hata kidogo
 
Sio kwamba ulichokuwa unakitafuta umekipata? Just curious...
 
Back
Top Bottom