Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Mkulima, Ndesa hazungumziwi kwa sababu ni mbuge kutoka Chadema, bali ni kwa style yake ya kuwatumikia watu wake kwa hali na mali ikiwa ni pamoja na kujitolea kwake kwa watu wa Moshi.
Huyu hata angekuwa ni Mbunge kutoka CCM, nahakika hata watu wa Chadema wangemuunga mkono.
Wana JF hatuhitaji kupelekwa mirembe, apelekwe yuleyule aliyependekezwa na Tingatinga.
Ina maana Mpare anaweza kuwa tayari kumuuza hata mumewe ili ashinde kesi?
Mama Simba, changamkia tenda hiyo, Mgogo John itabidi auzwe, Mpare ashinde kesi ..... hahaaaa Shemeji zangu Wapare.
Nani kamtuma huyu Mama au ametumwa na hisia zake? Kama katumwa na CCM, basi naona ccm imemchoka na inataka ajimalize mwenyewe.
Namshauri arudi jimboni mwake. Aachane na majimbo ya watu, ataumbuka bure, na sidhani kama anaweza kukaa moshi kwa muda huo wote aliosema, ataoroka tu kwanza usiku.
Mkuu IMBOGAMBOFU, Hapo chini mama alisema hivi...Mwe,Mwe,Mwe...Mama kawachokoza wachagga na Chadema yao,angepiga kambi Monduli angesifiwa kuwa ni kamanda wa makamanda lakini kwa sababu ni moshi kwa Chadema mama atatukanwa leo..mwe..mpaka Tanzania Daima gazeti la Chadema limemwandika mama.Tuliambiwa anataka kuja Kyela vilevile tunamkaribisha,nondo za mama SS zitammaliza.Kama ndoa iliendeshwa na pesa za kifisadi kwahiyo hiyo ni ndoa ya kifisadi..mweeeeeeeeeeee.
Read btn the linesnimeongea na Ndesamburo ananiambia wanaompa ubunge ni wanaCCM wenyewe hili halikubaliki.
We patachimbika hapo pamoja na kuisaidia Chadema na Moshi kiujumla! Huyo Mengi atabwagwa maana watu wa Moshi Mjini hawanunuliki kwa hela wamepinda! Muende muone msimamo wao haswa wa Moshi Mjini na hivi ndivyo kila mahali Tanzania kunatakiwa kuwa hivi Tarimerisation iwe kila mahali achukue time zake huyo Mengi, haka kazee kanafiki!
CHADEMA wakiguswa JF huwa pananoga! This is like chickens coming home to roost.
Huyu mama leo atatukanwa matusi yale yale ambayo mama Simba alipoyatamka, wengi tu hapa JF walikubaliana huyo mama akapimwe Mirembe.
Sijui na sisi wana JF tukapimwe Mirembe pia?
MOSHI MJINI:
..Moshi Mjini wana Hospitali ya Rufaa KCMC.
..Moshi Mjini wana Chuo Kikuu cha Utabibu, Chuo Kikuu cha Ushirika,na Chuo cha Ufundi.
..Moshi Mjini wana barabara za lami toka Uhuru.
..Moshi Mjini wanapata maji ya bomba.
SAME MASHARIKI:
..sina uhakika kama Same Mashariki kuna hospitali yenye hadhi ya hospitali ya wilaya.
QUOTE]
Ipo bana! Inaitwa Bombo Hospital..
huyu mama anatakiwa awe strategic, ajue nini anachokitaka, soon she will starts loosing direction, nimekaa moshi kidogo, watu wanampenda ndesa, sasa yeye amevimba kichwa kwa kusifiwa anaenda kufanya kazi isiyo na ija kwa taifa ( in long run) maana hatomaye ni watu wa moshi watakaohamua ni nani wanamtaka, i can say kilango is getting out of her self
Huyu mama hadi kufikia hapo means kapoteza mwelekeo kabisaaaaaaaaaaa kama huamini endelea kumsikia kaamua hata kumuacha Mzee Malecela mwenyewe eti anapiga kambi ili kundi lake la wajanja liichukue Moshi .