- Mkuu nimewauliza wanaoelewa zaidi, wakaniambia kuwa Mengi hawezi shuka chini kwenye level ya ubunge, lakini something is up na hilo jimbo sasa ninawatafuta wanaojua zaidi kama kuna nini huko Moshi I mean hii sio bure, na bado naamini maneno ya Mkulu PM kuwa ni valid kwa namna flani!
- However, siamini kwamba Mengi anaweza kushindwa ubunge mahali popote Tanzania, ningekua mshauri wake ningemshauri kuingia kwenye kinyanga'anyiro chenyewe hasa, yaani urais maana kwa yeye kuingia ubunge ni kushuka sana I mean yuko juu mno nationally! na hii ni kwa maoni yangu tu!
- Lakini kwamba Mengi anaweza kushindwa ubunge Tanzania, ninahitaji kuona kwanza kabla ya kuamini maana historia iko wazi sana kuhusu matajiri na siasa za Tanzania sijawahi kuona tajiri anapigwa chini, sasa hapa akiingia itakuwa vita ya nani tajiri zaidi, au?
Respect.
FMEs!