Mtu wa Kwao
JF-Expert Member
- Jan 15, 2008
- 258
- 21
kundi la wapambanaji wanajipanga kumsimamisha ...REGINALD MENGI moshi mjini mwaka 2010......thats confirmed!!...check this forum..
Utabiri wangu unatimia nilisha wakana hawa wanao jiita wapambanaji siku nyingi . Wapambanaji wanawaza sawa na Mwenuyekiti wao wanadhani CCM kwanza then Tanzania na Watanzania . Ni aibu hii . Nakupengeza FMES kwa comments zako najua uko karibu na Mama utampa ukweli kama ulivuyo andika .Mama anaiwafanyia watanzanai ufisadi wa hali ya juu na anaongoza sanaa sasa .
- Mkuu PM, maneno yako ni mazito sana haya, hayapimiki haya duh! Shukrani kwa dataz! maana hata mimi nilikuwa nimeachwa kwenye mataa lakini nilijua kua sio bure, JF bwana saafi sana.
Respect.
FMEs!
Wana-JF humu ndani hamjui historia ya Moshi, huko bwana hawaangalii hela zako ila wanaangalia usafi wako na nia na madhumuni ya ya kutaka kuwawakilisha! Mengi atalamba mchanga haki ya Mungu naapa (kama wanavyosema wenyewe)! Nimekaa Moshi mjini kwa miaka 16 na najua siasa za pale! Hawa jamaa waliwahi kumpiga chini Paramount chief wao Marreale japokuwa aliwaletea maendeleo mengi tu kabla ya uhuru yaani vitu kama maji, shule, kuwatafutia masoko ya kahawa na hata chuo cha ushirika (akiwa kama brain behind)!
sasa nawaharifu mkae mkao wa kula kuona cinema hapo mwaka kesho Mengi atashindwa kwa vile nia yake ni mbaya hagombei kwa maslahi ya Moshi Mjini bali kwa hulka na utashi wake mwenyewe yaani kujionesha anaweza kuwa Mbunge na hilo ni kosa! Ni mara kumi angegombea jimbo lingine hata Dar lakini sio Moshi Mjini! Mtaniambia humu ndani!
- Mkuu chonde chonde, kumbuka huko kwenye mkoa wenye hilo jimbo la Mzee Ndesamburo, kuna majimbo mengi tu, sasa kwa nini Mengi anataka jimbo hili tu kama ni kweli analitaka?
- Slowdown mkuu wangu, pole pole huko kuna something fanya research kwanza! Think kwanza eti unasema Mzee Mengi anayewafadhili CCM na Chadema, akigombea ubunge atashindwa? Jimbo gani hilo?
- I mean are you serious au? Mengi anaweza kushindwa ubunge Tanzania? I cannot wait to see that!
Respect.
FMEs!
Mkuu uchaguzi ni tofauti na kusimama kutoa mihela . Unaweza kuona Mengi anashindwa hata uongozi wa Mtaa akisimama . Kuwa na jina na pesa tofauti sana kwa wanao elewa wanakupiga chini tu .
- Mkuu nimewauliza wanaoelewa zaidi, wakaniambia kuwa Mengi hawezi shuka chini kwenye level ya ubunge, lakini something is up na hilo jimbo sasa ninawatafuta wanaojua zaidi kama kuna nini huko Moshi I mean hii sio bure, na bado naamini maneno ya Mkulu PM kuwa ni valid kwa namna flani!
- However, siamini kwamba Mengi anaweza kushindwa ubunge mahali popote Tanzania, ningekua mshauri wake ningemshauri kuingia kwenye kinyanga'anyiro chenyewe hasa, yaani urais maana kwa yeye kuingia ubunge ni kushuka sana I mean yuko juu mno nationally! na hii ni kwa maoni yangu tu!
- Lakini kwamba Mengi anaweza kushindwa ubunge Tanzania, ninahitaji kuona kwanza kabla ya kuamini maana historia iko wazi sana kuhusu matajiri na siasa za Tanzania sijawahi kuona tajiri anapigwa chini, sasa hapa akiingia itakuwa vita ya nani tajiri zaidi, au?
Respect.
FMEs!
Hiyo haina ubishi Mengi ni tajiri zaidi ya Ndesa-pesa ila kushinda ni kitu kingine wapigaji kura wa Moshi Mjini hawaangalii fedha wanaangalia kigezo cha kuwa Mbunge wao na utashi wa mhusika! Mengi atabwagwa haswa kwa jimbo analotaka gombea!
MOSHI MJINI:
..Moshi Mjini wana Hospitali ya Rufaa KCMC.
..Moshi Mjini wana Chuo Kikuu cha Utabibu, Chuo Kikuu cha Ushirika,na Chuo cha Ufundi.
..Moshi Mjini wana barabara za lami toka Uhuru.
..Moshi Mjini wanapata maji ya bomba.
SAME MASHARIKI:
..sina uhakika kama Same Mashariki kuna hospitali yenye hadhi ya hospitali ya wilaya.
..hawana barabara ya lami. Kikwete aliwaahidi lakini mpaka leo hakuna kilichofanyika.
..Same Mashariki ni jimbo la mwisho kimaendeleo ktk mkoa wa Kilimanjaro.
..majuzi mvua zilileta maafa ambako wananchi 25 walipoteza maisha.
..hali ya maisha haijarudi kuwa ya kawaida kwa waathirika wa maafa ya mvua Same Mashariki.
KATIKA MAZINGIRA KAMA HAYA KWANINI ANNA KILANGO ANAKWENDA KUPIGA KAMBI MOSHI MJINI?
WANANCHI WA SAME MASHARIKI HATA HAWAJAANUA MATANGA YA VIFO VYA WALE WAHANGA 25, HALAFU MBUNGE WAO TAYARI 'KIGUU NA NJIA' KWENDA KUPIGA KAMPENI ZA SIASA?

Matatizo ya kuolewa na wazee, ona sasa akili zake karibu zifanane na za kingunge
Matatizo ya kuolewa na wazee, ona sasa akili zake karibu zifanane na za kingunge