Umepita muda sijatamani kulog in kwenye mtandao wetu huu, ila leo imebidi!!!
Huyu mama naona anataka kuwa katuni, au CCM wameshamuua kisiasa, manake vituko vyake vya hapa karibuni vimemfanya hata akiongelea maswala muhimu yaliompandisha chatii hatasikilizwa tana. Inasikitisha sana kuona jinsi wataalamu wanavyochaza na saikolojia ya wanasiasa wanaoibukia ukereketwa bila kujipanga.
Ebu niambie mama kilango akiongelea tena mafisadi saa hizi kuna ataesikiliza?
Roho inauma sana, inakuwaje anaacha agenda za muhimu anashughulika na mambo ya kupuuzi kama ya kubadilisha kiongozi mzuri, kutafuta kiongozi dhaifu asie na mwelekeo ili mradi ccm ishinde.
yani roho inaniuma sana
TUNAMTAKA MAMA KILANGO WETU WA MWANZO, ALIETIKISA NCHI. japo kwa bunge moja.
kiroja cha mwaka.
Nakumbuka kuna mtu humu aliwahi kusema kuwa huyu mama si chochote tangu mwanzo, ametumwa tu kulipiza visasi vya watu. Tukabisha sana tukisema ni mwanamke mwenye msimamo na haogopi kufa wala ccm, kumbe kweli, agenda zake binafsi ni kama hakuna, anadandia za watu.
imenuma sana mwenzenu.
Mbona Ngawaiya ni mbunge mzuri tu? makazi yake makuu yako moshi, ni rahisi kufeel hali ya maisha na kuifanyia kazi. tofauti na asilimia kubwa ya wabunge wetu, wanasimuliwa na kusoma magazetini hali ya majimbo yao, au mpaka wapewe habari na wapambe wao, mfano forum za kujiuza, mazishi, ujenzi wa misikiti na makanisa. (sitaji majina)