Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Mimi naona asitoke ccm bali abaki huko huko akiwasha moto labda kama ccm wenyewe wataamua kumfukuza baada ya kuona amekuwa moto mkali zaidi.
Mama Anna kilango na wengine kama wakina Kimaro waendelee kubaki huko huko wakiwasha moto. si unajua akina Kimaro walikuwa NCCR mageuzi? naona bado hali ya siasa za huku upinzani bado ccm hawakuzisafisha kuzimaliza. Ila niliota ndoto kwamba wamezaliwa wapinzani wengi sana wa uovu ndani ya ccm yenyewe. Sijui ilikuwa ya kweli au ilikuwa ya uchovu wa kazi nyingi nilizokuwa nazo siku hiyo.
NI kosa kudhani kuwa vita dhidi ya ufisadi inapiganwa na wapinzani peke yao. Waliotoa mchango mkubwa kwenye vita hiyo wako pande zote mbili. Kwa hiyo Anne aendeleee kuwepo huko huko. Cha muhimu ni kwamba yuko bungeni ambako ni moja ya battle ground, na anatoa kauli hizo kama mbunge wa CCM ina maana kuwa sio wote CCM wanaunga mkono ufisadi.Akihama CCM atanyamazishwa kirahisi kama alivyofanywa Mrema, au atafanywa aonekane mwendawazimu na ataanza kuletewa kashfa za ajabu. Let her stay! Kama kuondoka aondoke kwa mapenzi yake, na si kwa mapenzi yako.
She is playing her part. You have to play yours too, do not chose for her how toplay the game, let her play her own way.
Wale waliokuwa wakisema kikwete apewe mwezi...Alishapewa...Ballali akafa...Bado wanataka apewe muda!
Na sasa ni killango aliyeteuliwa na kikwete?
Ni kivipi mama huyu akasimama kinyume na mwenyekiti wake kipenzi?
Ama nyie watu hamuyajali maisha yake?
Mumesahau KOLIMBA NA WENGINEO?
jmushi1,
..endeleza mapambano na sema kile unachokiamini.
..mimi nakubaliana na wewe kwamba CCM imeoza.
..chama hiki kunusurika kwa kweli itakuwa maajabu ya MWENYEZI MUNGU.
..wanatudanganya eti CCM haina matatizo, wenye matatizo ni mafisadi. hiyo ni hoja ya kufikirika tu, lakini in reality huwezi kutenganisha chama na watendaji/viongozi wake.
Anna Kilango alikuwa anatetea maslahi ya taifa au alikuwa anapingana na serikali ya Kikwete kama njia ya kulipiza kisasi kwa yeye kukoseshwa U - First lady na wanamtandao?Tumeshajua kuwa BUNGENI MASLAHI YA CHAMA YANAPEWA KIPAUMBELE KULIKO YALE YA TAIFA!
Mifano ni mingi tu kuanzia enzi za Mrema aliyejitoa ccm na Zitto aliyefukuzwa na hao ccm huko bungeni kwa kutetea maslahi ya Taifa.
Mama Killango tunataka tumpe A SHOT...Ila kwa masharti kwamba atoke huko ccm kwani kauli zake ni zile zile za Mwenyekiti wake na chama chao na vile vile hitimisho ni kikao chao cha siri ambcho walikubaliana kwa pamoja namna ya kuingia upya kwenye siasa na mbongo zetu kwa style ya kujisafisha na kauli tata za kisiasa!
Kwa vile ni wazi kuwa alishindwa kupingana na maslahi ya chama kwa kuipigia kura ya NDIYO bajeti ya kifisadi huku akifanya hivyo kwa kushirikiana na MAFIASADI HAO NI JAMBO LENYE KUSUMBUA AKILI PALE TUNAPOTAKA TUMWAMINI!
Ni ushauri wangu wa bure Mama Killango na ninaamini utakaposoma hii makala then utachukua uamuzi wa busara ili tuweze kukuunga mkono moja kwa moja.
Ni matumaini angu utafuata mfano wa MREMA ambaye ghafla walimfanya aonekane kichaa mara baada ya kugundua kuwa hawezi kulipigania TAIFA LAKE AKIWA NDANI YA ccm.
Ni hayo tu kwasasa...
Anna Kilango alikuwa anatetea maslahi ya taifa au alikuwa anapingana na serikali ya Kikwete kama njia ya kulipiza kisasi kwa yeye kukoseshwa U - First lady na wanamtandao?
Anna Abdalah alikuwa analinda maslahi ya CCM au alikuwa analinda maslahi ya kikundi kidogo ndani ya CCM ambacho yeye ni mwanachama wake? Yeye ni Mwenyekiti wa UWT na mumewe ni Makamu Mwenyikiti wa CCM Tanzania bara (Tanganyika) na rafiki zao ndiyo wanaongoza serikali!
Anna Kilango alikuwa anatetea maslahi ya taifa au alikuwa anapingana na serikali ya Kikwete kama njia ya kulipiza kisasi kwa yeye kukoseshwa U - First lady na wanamtandao?
Anna Abdalah alikuwa analinda maslahi ya CCM au alikuwa analinda maslahi ya kikundi kidogo ndani ya CCM ambacho yeye ni mwanachama wake? Yeye ni Mwenyekiti wa UWT na mumewe ni Makamu Mwenyikiti wa CCM Tanzania bara (Tanganyika) na rafiki zao ndiyo wanaongoza serikali!
Kigarama KATA ISSUE!
Wakuu wengine wenye insight wamwage data ili tulikomboe Taifa letu ambalo liko njia panda!
Tuwe makini kwasababu mpango mwingine ni kuhakikisha Kikwete anajiapatia umaarufu kwa kutumia uenyekiti wake wa AU ili haki ya mtanzania isipatikane!
Ni mapngo mzito!
Tumeushtukia...Mlioko Taz pambaneni na sisi huku ALUTA CONTUNUA!
WALINIUDHI SANA NA ILE ISSUE YA BALLALI!
Connection ya BUSH-BALIR-KIKWETE-yOUNG-TSIVANGIRAI VS OBAMA NA WAZALENDO wengine iko wazi!
ITS A DEFINING MOMENT FOR AFRIKA....!
TANZANIA LETS PLAY OUR PART!
AFRICA NA DUNIA TUKO NJIA PANDA!
MUONE HILO HARAKA HARAKA ILI MUDA USITUTUPE!
KIKWETE ALIYEKATAA USHAURI WA OBASANJO WA KUWAKAMATA MAFISADI...KUMEMSHUSHIA HISHMA BARANI AFRIKA YEYE NA TANZANIA KWA UJUMLA...LETS CHANGE THE COUNTRY,AFRIKA AND THE WORLD!
AMEN.
Ulichosahau pia ni kuwa, kama ccm imeoza kiasi hiki basi inabidi ifutwe kabisa na chama kingine kiundwe. Au ukipenda zaidi ungana na kile ninachokisema kwenye signature yangu kuwa Kikwete aresign haraka sana ili kuinusuru nchi.
Haya mengine yote ni chorus tu kama Mama Malecela akitoka ccm na bado kikabakia kuwa chama kinachoogoza nchi au kikwete ambaye ni mwenyekiti wake akabakia kuwa raisi wa nchi.
wewe unasemaje?
Mushi,
Okay lets say Mama Killango, Mwakyembe, Nyalandu, Sendeka, Seleli, na Manyanya wanaondoka CCM. Then where do they go and what happens to CCM?
Will CCM fall apart and loose general election? Will Wananchi believe that CCM is no longer a good party? Will Ufisadi come to an end?
What wil be the fate of Tanzania after those 5 quit CCM? if they join Opposition or form their new party, will they take control of Government after General election in 2010 or even stir the local government elections to lean towards Upinzani 2009?
Umenena...Lakini wewe uko hapa jf...Mama keshamwambia mwenyekiti wake wa chama ajiuzulu kwa kushindwa kukisimamia chama?
Ama aliendeleza LIBENEKE kwa kushirikiana kwenye Bajeti ya KIFISADI pamoja kuwasafisha mafisadi?
Ni wapi na lini mama huyo ameshasema ccm si safi?
Mbona munamwekea maneno mdomoni?
Hawezi kupingana na kina kikwete either kiwazi wazi ama kwa siri!
Kwa siri ndio mbaya zaidi...Ni heri afanye wazi na kusema ukweli time is running OUT!
Tumeshuhudia usanii wa hali ya juu wa kikwete kwa kuwapanga watu, kuwapangua na kuwanukisha SHOMBO!
Mushi,
Okay lets say Mama Killango, Mwakyembe, Nyalandu, Sendeka, Seleli, na Manyanya wanaondoka CCM. Then where do they go and what happens to CCM?
Will CCM fall apart and loose general election? Will Wananchi believe that CCM is no longer a good party? Will Ufisadi come to an end?
What wil be the fate of Tanzania after those 5 quit CCM? if they join Opposition or form their new party, will they take control of Government after General election in 2010 or even stir the local government elections to lean towards Upinzani 2009?
Wakipata sapoti ya viongozi wa dini...Ngoma ntolee!
NCHI IPO MIKONONI MWA WACHAWI NA WATANZANIA HAWAONI HILO?
AMA NA WAO WAMEROGEKA KAMA WABUNGE WETU WAPENZI AMBAO SASA WANAONGEA KAMA VICHAA!?
KWANZA NAMSHAURI MAMA KILANGO AENDE AKAOMBEWE ILI HAYO MAPEPO YATOKE..BAADA YA HAPO ATAUJUA ULE UPANDE WA HAKI NA HIVYO KUENDELEZA YALE MAPAMBANO ALIYOYAANZA TOKA LOWASSA AKIWA MADARAKANI!