Mama Kimbo

Mama Kimbo

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Hongera sana kwa kujiweka fit

miriamlurry_20200515_210809_0.jpg
 
Ila unene bwana ni Kula hapa ninapoishi kuna kijana wakati nahamia alikuwa WA kawaida SASA hivi kawa kama Msechu yaani muda wote misosi inakalangizwa kukikucha hotipoti inajazwa machapati. Msiseme nina wivu anakoelekea mke ataanza kucheat🙄🙄🙄
 
Ila unene bwana ni Kula hapa ninapoishi kuna kijana wakati nahamia alikuwa WA kawaida SASA hivi kawa kama Msechu yaani muda wote misosi inakalangizwa kukikucha hotipoti inajazwa machapati. Msiseme nina wivu anakoelekea mke ataanza kucheat[emoji849][emoji849][emoji849]

Tena unene ni mazoea ya ulaji, kwa mfano wanga 100% kwa siku lazima uwe bonge, chapati na supu asubuhi, mchana ugali nyama, usiku wali nyama na milo yote unasindikiza na soda juu maji kidogo, halafu angalia potion mtu anayokula utahisi wanakula watu watatu kumbe ni mtu mmoja na kwa siku kajaza wanga ovious lazima atakua kama pipa na ukumbuke hatuna utaratibu wa mazoezi hata madogo madogo kwa siku, kwahiyo hapo ndio balaa linapoanzia, huwezi kukwepa kua overweight kwa utaratibu wa chapati, maandazi, mikate, wali, ugali, nyama kila siku
 
Nimejaribu kula wanga mchana Tu nimefaulu nikaenda mbele zaidi kuna baadhi ya siku mchana nakunywa supu Tu jioni sigusi wanga hii inaleta tabu njaa ya siku ya pili yake inakuwa balaa all in all ukiweza Kula wanga mchana Tu mabadiliko ni makubwa Sana. Protein, Mafuta ya kwenye nyama, mboga na matunda hazina shida kama wanga na sukari.
 
Ila unene bwana ni Kula hapa ninapoishi kuna kijana wakati nahamia alikuwa WA kawaida SASA hivi kawa kama Msechu yaani muda wote misosi inakalangizwa kukikucha hotipoti inajazwa machapati. Msiseme nina wivu anakoelekea mke ataanza kucheat🙄🙄🙄
Sasa mkewe ndio anataka jamaa anenepe ili wasije tamaniwa na wanawake wengne
 
Tena unene ni mazoea ya ulaji, kwa mfano wanga 100% kwa siku lazima uwe bonge, chapati na supu asubuhi, mchana ugali nyama, usiku wali nyama na milo yote unasindikiza na soda juu maji kidogo, halafu angalia potion mtu anayokula utahisi wanakula watu watatu kumbe ni mtu mmoja na kwa siku kajaza wanga ovious lazima atakua kama pipa na ukumbuke hatuna utaratibu wa mazoezi hata madogo madogo kwa siku, kwahiyo hapo ndio balaa linapoanzia, huwezi kukwepa kua overweight kwa utaratibu wa chapati, maandazi, mikate, wali, ugali, nyama kila siku
Hao wanga wenzangu mnawatoa wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom