Mama kwa vijana huyu!

Mama kwa vijana huyu!

mbona fresh tu...Raisi wa ufaransa anatoka na bibi yake...love is love
 
Key word kwako
So is all about perception ukiona sio mwingine anaona ndio
All in all we do things that makes us happy
So mwingine anahtaj kijana may be sababu ya game mwingine anahtaja just cuddling so atamhitaj mzee mwenzie yote maisha
Love ya kunifanya niwe 53 nilale na
mwanaume wa 24 kwangu sio love ni laana na ni kinyaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom