Mama, "Kwani si tunaalika watu kuhalalisha hilo hilo (tendo la Ndowa)"

Ustaarabu ni nini? mstaarabu ni nani? Hao wastaarabu ni kina nani?

Hivi bado hujatoka huko tu?
 
Ni kipindi kifupi tu ulisema kuwa hatuwezi kuishi bila ya kuangalia ya dunia, sasa unataka kukataa unayoyahubiri? Tangu ulipoanzia mwanzo umekuwa ukiponda mfumo tulionao wa ndowa sasa unageuka na kusema kuwa ustaarabu una maana ya kumdhalililsha Muafrika. Pengine hili la kudhalilisha unalifanya wewe mbele ya mila zetu za kulinda uhusiano baina ya jamii mbili.
Kuhusu hili la flaws nimeshakwambia kuwa uhusiano usiotambulika kisheria (juu hapo uliungama kuwa ndowa ni kitu kinachotambulika kisheria) kwa kuanzia ni kuwa hautambuliki kisheria jambo ambalo litaleta mkanganyiko mkubwa baadae.
 
kwa nini mwanamke adai talaka?

Kiranga hajasema mwanamke hawezi kudai talaka, amesema mwanamke hawezi kutoa talaka, rudia kusoma. Comprehension muhimu sana.

Waliostaarabika ni nani? Wenye mfumo wa watu kuoana ikifika talaka wanatalikiana, hakuna cha kuomba. Sie ambao mwanamke anaolewa na kwa hiyo hawezi kutaliki ndio wenye tabia ya mwanamke kuomba talaka.

Mwanamke akiomba talaka na mwanamme akikataa kumpa talaka inakuwaje sasa? ukiomba si kuna kukubaliwa na kukataliwa?

Swala si mfumo upi unamzuia mwanamke kudai/kuomba talaka, swala ni, kwa nini mwanamke aombe talaka? kwa nini asiwe na uwezo wa kutoa talaka katika mfumo wetu?
 
Nimeongelea mengi sana tu, mpaka swala zima la "kuacha milango wazi" na mapenzi ya kweli.

Kama michango ya harusi mbona wengine tunachanga kila siku bila bajeti lakini kuoa hatutaki?

Imani yako haiwezi kuwa imani yangu hata tutoke tumbo moja kama mapacha. Wewe usiowe lakini haimaanishi kuwa hutaki kwa vile ndowa ni kitu kibaya.
 
Ustaarabu ni nini? mstaarabu ni nani? Hao wastaarabu ni kina nani?

Hivi bado hujatoka huko tu?

Sasa hii nadharia yako umeipata wapi na inasimama kwa misingi ipi na mifano ipi?
 
Ustaarabu ni mpango mzuri wa maisha ikiwamo pia kuheshimiana kwa mpangilio uliokubalika na jamii. Mstaarabu ni mwenye kufuata maisha ya mpangilio kwa mujibu wa jamii yake. Jee hilo ni baya kwako?
 
Nafuraha kukuuliza jee umewatambua waliostaarabika sasa?
Halafu ndugu yangu Kiranga unataka tuamini kuwa mwanamke anaamka na kuandika talaka akaiweka mezani kama tunavyofanya sisi?

Hakuna kitu kukataa kutowa talaka kwani hao wengine hawakatai na mwanamke akashindwa kuachika? Hatujaishi nao lakini angalau tunawasikia na kuwasoma!
 
ukishasema wanaokusakama wana wivu wa kike in that context tayari maana yako ni kwamba wivu wa kike mbaya, na unatafsiriwa kwamba hata kama kuna wivu wa kiume, unaweza kuwa mzuri (labda wa maendeleo kumpa mtu motisha ya kutafuta maendeleo).

Mfumodume. Usitetee.

Kama kusingekuwa na mfumodume asingesema hata "wa kike" angesema tu "msilete wivu".
 
Ngekewa,sikubaliani na suala la mwanamke kudai talaka,kwanini adai?Kwani hawezi kutoa?Ndoa ikimuumiza mwanamke hawezi kutoka?Mwanaume akiwa mlevi na mfujaji mwanamke afanye nini?Asubiri mpaka apewe talaka?
 
Imani yako haiwezi kuwa imani yangu hata tutoke tumbo moja kama mapacha. Wewe usiowe lakini haimaanishi kuwa hutaki kwa vile ndowa ni kitu kibaya.

nani kasema ndoa (si ndowa) ni kitu kibaya?

Nasisitiza tena, kila mtu ana mipango yake katika maisha kama wewe unavyosema imani yangu si sawa na imani yako.

Kwa hiyo, kuna wengine wanaona ndoa si kitu kibaya, wengine wanaona ndoa ni kitu kibaya, inategemea umesiamamia wapi.Shilingi moja nikiiangalia kutoa sentimeta 15 na mwingine akiiangalia hiyo hiyo kutoka meta kumi, tutaiona tofauti.Maji hayo hayo kutegemea na nyuzijoto yanaweza kuwa maji, barafu aua mvuke. Sasa wewe huwezi kumwambia mtu "haya ni maji kwa sababu yameundwa na H2O, wakati yeye anaona H2O, lakini kwa sababu ya nyuzijoto anaona mvuke, na mwingine anaona kwake barafu.

Ndiyo maana nashangaa wanaotaka kuoa/kuolewa liwe jambo la lazima. Na wanaofikiri mtoto wa kike ni lazima atake kuolewa.

Wanakuwa wamekariri kama yule aliyekariri kwamba H2O ni lazima iwe maji bila kujali nyuzijoto gani tunaongelea.
 
Kiranga,kwa hilo ulilosema hapo juu nimekuelewa,yes inaonekana "wivu wa kike" una maana mbaya(mfumo dume)japokua hatuna mfano wa ex spika kuhusu wivu wa kiume!
 
Ustaarabu ni mpango mzuri wa maisha ikiwamo pia kuheshimiana kwa mpangilio uliokubalika na jamii. Mstaarabu ni mwenye kufuata maisha ya mpangilio kwa mujibu wa jamii yake. Jee hilo ni baya kwako?

Ila hili neno ustaarabu silipendi kabisa!Linatukuza watu fulani!Utumwa!
 
Kiranga! Hii si issue ya mfumodume bali ndio utaratibu wa ndoa ulivyo. Ndoa hazikuanzishwa na wanadamu bali Mungu na Mungu ameweka rights na responsibilities za kila mwanandoa. Mwanaume ni kiongozi wa familia (kichwa) na mwanamke ni msaidizi. Wanadamu kwa bahati mbaya sana wanataka waendeshe mambo fulani bila kufuata miongozo wa waliyoyaanzisha. Mungu ametupa manual book ya marriage na kama tukifuata guidelines zetu wenyewe we will definitely land into trouble. We can not be wise than God. Kufuata matakwa yetu au miongozo yetu wenyewe ktk ndoa ni sawa na kujaribu kutumia manual book ya iphone kuendeshea mtambo wa caterpillar. It won't work. Leo ndoa zina matatizo mengi kwa sababu watu wanajifanya wajanja na ku-ignore mwongozo wa Mungu. God is the designer of marriage and like any other designer, He has given us marriage manual book to guide us on how to "operate" marriage. Mungu hakulazimishi kufuata guidelines zake lakini usipozifuata you suffer the consequencies
 
Nani amekuambia ndoa imeanzishwa na Mungu?Vp kama siamini uwepo wa Mungu?Huwezi kuona unazidisha mkanganyiko unapoihusisha dhana hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…