Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
ha ha ha akikublock unafungua nyingineNataka nikamchokozee sijui ataniblock hhhhhhaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha akikublock unafungua nyingineNataka nikamchokozee sijui ataniblock hhhhhhaaa
karudi na mipasho juu kuna mmoja alicomment ovyo kachambwa huyoo..mhh Huyu mtoto basi tena ameshindikana
Haaaaa mie mwenyewe ni mmoja wa waliocomment shombo kule...
Wakati mkewe anaendelea kumlilia mume...mchepuko ndio umeshaanua matanga na umeingia upya kwenye kambi ya kuendelea kuuza sura IG...
Ndio wanaume wajue hiyo michepuko inawapenda au inawatumia...
Yaani GT3 mpaka yakupate ya kukupata ndio umkimbilie Mungu ? Kwanini usiwe na tabia ya kumcha Mungu wakati wote; wa raha na tabu? Sasa hivi bado upo karibu na Mungu wa kweli au ndio umekacha baada ya matatizo kwisha?
Haaaaa mie mwenyewe ni mmoja wa waliocomment shombo kule...
Maskin seky alimpendaje lulu.
Kasema ana viwanja, nyumba na magari vp mbona hasemi kuwa ana UKIMWI pia? Ahahahah sitaki mie mdomo koma mdomo utaniponza ivooo 🏃🏃
Muulizeni lulu anamfahamu dokta lema wa masana mbezi beach? Ahahahh sitaki mie umbea
,mmmmmh tusimuliage basiii,ulimuona rio po alivyolia kwenye msiba wa kale katoto
Muulizeni lulu anamfahamu dokta lema wa masana mbezi beach? Ahahahh sitaki mie umbea
Amen.. Tujifunze zaidi kumtafuta Mungu kuliko shetani, lulu uko ulipo usijali tupo pamoja tunakuombea
Watakuhis we ni husna