Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Kwa wasiomfahamu huyu ndiye mama mchungaji mke wa mchungaji Mc pilipili. Mtumishi amefunguka na kusema jambo kuhusu bifu lake na baba mchungaji.

Amesema......

"Kupishana katika ndoa ni kitu cha kawaida sana, sema kuna wale ma stars wakipishana kila mtu atajua lakini kwetu watu wa rohoni huwa tunayamaliza kimya.... kimya hata mshenga hahusishwi".

Bifu lao wameshalimaliza na maisha yanasonga.

Kuhusu kanisa kumshinda baba mchungaji, mama amekazia....

"Kile alichosema baba mchungaji ndicho hicho hicho nasema na mie kwamba hatukutaniki tena kila jumapili bali huduma yetu kwa sasa ni kuhudumia watu wa mtandaoni pekee.

Mama mchungaji katika ubora wake.

 
Shetani ana NGUVU sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wallah, mama mchungaji ni mtamu .
 
Hazionekani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…