Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #21
Kutamani lips za mama mchungaji
Sasa hapo uhuni ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo uhuni ni nini?
Kabisa mkuuIla ana hekima!
Ukiwa na access nae mda wote ule uzur hauonekaniSana aliupiga mwingi
Hilo ndio ombi lako?Wataachana....
Wasikilize baba na mama mchungaji, acha kumsikiliza yule mkimbizi kimbau mbau ni muongo sana yule.Au tusubiri uhakika kutoka kwa dada wa taifa?
Ana nguvu hasa pale anapokosa upinzani.
Kwani sura ya shetani ipoje mkuu 😂Kuna sura hata kwa kuiona unaona shetani yulee
Kumbe hadi nyie walokole mna celebrities wenu
Watumishi wa mungu kuanika mahusiano mtandaoni sio dhambi?
Ukishamzoea unamuona wakawaida sana.Ukiwa na access nae mda wote ule uzur hauonekani
Mkuu kwenye ibada huwa tunafumba macho, sa utawazaje uzinzi hapo ?Anafanya dhambi, akijiremba hivyo anashawishi waumini kuwaza uzinzi🤣
Ni nzuri sana ukweli acha nisemeKutamani lips za mama mchungaji
Ukiachilia ukatibu sidhani kama wafaa kuwa hata mlinzi wa kanisani, hufai kabisa 😂Ni nzuri sana ukweli acha niseme
Bwashee watakulia timing hapa wapiga mizinga wakupe namba then wakulize halafu usingizie mama mchungaji Kala hela zako 😂😂Namba ya mama mchungaji tuanze kutuma sadaka?
Bwashee watakulia timing hapa wapiga mizinga wakupe namba then wakulize halafu usingizie mama mchungaji Kala hela zako 😂😂