health
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 325
- 39
Hello Wanajamii,
Napenda kutanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu anayetufanya tuendelee kuwepo na kuweza kufanikisha yale yote yatupasayo kufanya katika kutimiza wajibu wetu.
Hapa napenda kuwa na jambo zuri la kuhusu afya ambalo ni muhimu kulizungumzia zaidi ya yote sababu afya ndiyo jambo la kwanza, la pili fedha na mwishowe watoto. Ikitokea mmoja akikosa kati ya hivyo katika maisha ya kawaida huwa ni shida kubwa na kujihisi kutokuwa na furaha.
Afya inaanza tangu mtoto anapokuwa tumboni mwa mama. Ili mtoto awe na afya pia inatakiwa mama awe na afya njema pia. Mama mjamzito anahitajika kula vyakula vizuri vyenye makundi yote ya chakula(mlo kamili) kwa ajili ya afya njema. Katika mazingira tunayoishi wengi tunakula lakini twaweza kula vyakula visivyo sahihi sana au visivyo na virutubisho muhimu kwa sababu ya mazingira kuathiriwa. Mfano udongo ambao unastawisha vyakula hauna virutubisho tosha na pengine unakuwa na sumu mbalimbali kutokana na matumizi mabalimbali ya bidhaa za viwandani, mbolea za viwandani, hewa chafu na mengineyo. Hapa chini ni msaidizi katika kupata virutubisho asilia vinavyohitajika mwilini hasa kwa mama mjamzito pia kwa watoto wadogo ambao ndiyo wanakuwa wanahitaji sana kuwa na virutubisho hivyo. Mtoto anayekosa vitu kama hivyo tangu tumboni huwa anadumaa katika ukuaji.
Mama anahitaji madini mengi sana kwa ajili ya afya yake na afya ya mtoto pia itamsaidia sana kuwa na afya nzuri baada ya kujifungua sababu damu nyingi hupotea. Fuatilia maelezo ya bidhaa muhimu hapo chini.
CA + FE + ZI PLUS
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA
FAIDA ZA MADINI CHUMA
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI
Mtu atakayekuwa anahitaji uelewa zaidi au mwenye swali anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 au kuniandikia kupitia ishealthy@hotmail.com
Mtu yeyote atakayehitaji gharama yake ni Tsh 51000/- tu
Shukrani

- CA Madini ya Chokaa
- FE Madini ya Chuma
- ZI Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA
- 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
- Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
- Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
- Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA
- Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
- Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
- Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
- Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI
- Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
- Inaimarisha milango ya fahamu
- Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
- Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
- Inaondoa matatizo ya macho.