Simba kufunga goli kama hizo ni kawaida sana nakumbuka Hillary Ochesa aliwahi kumfunga golikipa mzungu wa GONGO WAZI kutoka katikati ya uwanjani mpaka akazimia! Mechi hiyo chura tuliwakamua 4 kwa 3! Labda ulikuwa bado hujazaliwa demigod, chura ni timu ndogo pia kwa mjibu wa maelezo yako!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Hata hivyo Hard rock sio wa kwanza kufungwa 5,ulishapigwa wewe 5
Bingwa wa mbereko za malinzi, mhaya mshenzy kuwahi kutokea!
Msimu huo nani alikuwa Bingwa...?πππ
Bingwa wa mbereko za malinzi, mhaya mshenzy kuwahi kutokea!
Pogba wa tz nchi imekushinda!