demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Simba kufunga goli kama hizo ni kawaida sana nakumbuka Hillary Ochesa aliwahi kumfunga golikipa mzungu wa GONGO WAZI kutoka katikati ya uwanjani mpaka akazimia! Mechi hiyo chura tuliwakamua 4 kwa 3! Labda ulikuwa bado hujazaliwa demigod, chura ni timu ndogo pia kwa mjibu wa maelezo yako!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Msimu huo nani alikuwa Bingwa...?😀😀😀