Mama mkwe ana mwezi hana dalili ya kuondoka, chumba kimoja, nimemmisi mume wangu

Sorry mleta mada,, umaskini ni tatizo kubwa katika hiyo familia pia ustaarabu hawaujui..
 

Wape pole na familia yao sn kabla ya kutoa ushauri naomba maelekezo hapo kwenye nyekundu kwanza chumba1 self containal Hiyo nyumba siipatii picha,
pili atarudi au hatarudi??
tatu analala kitandani bila aibu wewe ulitaka alale kwenye paa??? au mgeni akija kwenu analala kwenye meza???
mwisho kbs tupe maelezo walivyomwita mama mjini bila maandalizi walitaka aje alale wapi.....???. Hizo siku 3 mama alizosema atakuja kukaa walilalaje???
USHAURI WANGU WAJIPANGE WAWEZE KUACCOMODATE MMGENI HT MMOJA JMN MAMA NI MTU MUHIMU SANA.
Lastly wewe Jirani mmbeee....
NOTE "I LOVE MY MAMA UNCONDITIONAL THAT I CAN GIVE UP EVERYTHING FOR HER..."
 

Chumba kimoja inamana kina choo humohumo na pia kunabaadh ya makabila mama m2 hathubut kugusa kitanda anacho lalia mwanae yaan ni mwiko
 
Mwanaume mwenyewe anasapotiwa na mwanamke
 
Sijui umenielewa au ni umefanya generalization!!

Nimekuelewa sana Chocs, na mimi nikafanya totality, siwezi kukusemea hivyo coz hata sikujui..sorry kama ulielewa vibaya na kukwazika.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake siku zote hawana akili za kutosha ndo maana anashindwa kujiongeza huyo mama mkwe wake. Ila kubwa zaidi ni mwanaume kama ameridhika na hiyo hali hakuna jinsi mwambie mdogo wako avumilie.
 
ndo ivyo anazidi kuvumilia.yupo nae mwenyewe
 
Wala hukunikwaza...uwe na amani,niliuliza tu
Ijumaa njema

Nimekuelewa sana Chocs, na mimi nikafanya totality, siwezi kukusemea hivyo coz hata sikujui..sorry kama ulielewa vibaya na kukwazika.
 
Last edited by a moderator:

nalo neno ila wakwe hasa mama wajiongeze sometime.
 
Huyu ni mama wa mwanaume hivyo hawezi kuvua nguo mbele ya mama mzazi au mimi ndo sijaelewa?
yaaa ni kweli, nili overlook, unajua kwa mwanaume ni rahisi kumwambia mama yake awapishe labda kama mwananume ni zoba, lakini kwa upande wa mwanamke ndiyo inayokuwa ngumu....solution niliyoitoa hapo juu imeshafanya kazi kwa watu wengi hivyo kwa upande wa wanaume kama mama wa mke amekatalia kwako fanya kama nilivyoelekeza,

 
mmh kuna with wanaroho ngumu....!!!c mmwambie ukweli kwann uidhulumu nafsi?shauri zako utapata madonda ya tumbo .
 
Mkwe yuko kwa raha zake anakula bata
 
Duh! hiyo hauna ujanja nayo chamsingi wewe na mwenzako muwe mnapanga weekend mchana mnaenda Lodge.
 

Hakuna hata haja ya kupoteza hela kwenda sehem nyingine.Cha kufanya ni kwamba dada mtu aende kumuona huyo mama mkwe then amuombe waende kwake akapaone (anapoishi dada mtu maana kasema sio mbali ) .Mama mkwe akiwa kwa dada,huku home jamaa anajilia vyake.

Just simple like that
 

Kwahiyo kila siku atakua anafanya kazi ya kumuomba wakatembee kwake!hakuna maisha hayo mkuu!

Lamsingi kama hana hela afanye akope achukue chumba kingine karibu au wakapange kwingine kutakapotosha na huyo mkwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…