Mama mkwe ananinengulia je ni mtego au?

Do you knw why English ppl used to say that "I NOW PRONOUNCE U A MAN AND WIFE...??
 

Punguza Munkali mtu wangu, Physics haiapply kwenye mapenzi hapa ungeniambia Ngonolysis ningekuelewa, reactions inaenda forward kama umesoma Chemistry, huyo huyo Newton law ya kwanza kakwambia kitu kitabaki kwenye state yake kama hakitamuvuzishwa, huyu mama kama hatachakachuliwa na mimi atazidi kudai haki miliki ya kitu chake...ACHA APIGWE MNENDI huyu, mie ngosha bwana....Hajuti mtu hapa, inapigwa na rafiki yangu sio SNITCHER kama wewe unavyofikiria.....
 
Mg bado tu hujampa haki yake huyo maza?
Tayari uwanja umeandaliwa, mbwa wa Police wa kumwaga mzee, farasi kibao, no live, no watazamaji ngoma itachakachuliwa weekend baada ya maandalizi mazito, mechi na vilabu vya zamani usiombe mkuu, ya kale dhahabu kaka, kipya kinyemi baba, utapewa yalojiri, ya moto, ya uvuguvugu, ya baridi, sorry size sikupi...
 
Do you knw why English ppl used to say that "I NOW PRONOUNCE U A MAN AND WIFE...??

Mie nilifungishwa na wazee hawakusema hivyo wewe....halafu nyie ndo masnitcher wa kumwambia mke wangu baada ya UCHAKACHUAJI.....
 
Mimi nakushauri kitu kimoja wewe Jjiulize angekuwa Mkeo anafanyiwa hivyo na baba mkwe wako i mean huyo wa rafiki yako wewe kama wewe ungejikiaje?

N amaanisha kwa heshima ya mkeo na miadi mliyofanya mbele za mungu kuwa utamheshimu nakushauri achana naye kabisaaaaaa Mlinde na mheshimu mkeo.

Ukisikia mkeo kamegwa utafanyaje wakati wewe wataka kumega nje?
 

comment ya kuhimiza uaminifu
Asante mkuu
Ila wakati mwingine mazingira magumu kweli
 
inaonekana wewe ni unfaithful kwa mkeo! hujatosheka tu? kwa nini ulioa? ulitakiwa uoe ukishatosheka wanaolipa wako wengi mtaani, utawapitia wote?
 
We kweli shetani lile number one kabisa kwa hiyo nimsaliti mke wangu?

Sasa umeuliza nini kama bado unaogopa kumsaliti wife wako?
Kula mara moja moja si tatizo wala usaliti. "Kuhama" nyumbani ndio mbaya. Panua mawazo kijana
 
Mi nakushauri linda ndoa yako Mtu kuijipendekeza kwako basi usizani anatka kufanya mapenzi na wewe.

Jitahidini mlioko kwenye ndoa muweze kutuvuta na sisi tujifunze nini toka kwenu ?

Usikubali kuvutwa hata siku moja kuingia humo, ingia mwenyewe at your own risk.
 
Mie nilidhani ni mama wa mkeo kumbe ni rafiki!!!we jilie tu mpka tigo ni ruska!!!





Mh....,!hapa nimechanganyikiwa,kweli huyu ni Maria Roza niliyekuwa nataka kumtumia CV yangu, au kuna mtu mwingine ameiba password yake na sasa anaitumia kumharibia jina mtarajiwa wangu?
 
inaonekana wewe ni unfaithful kwa mkeo! hujatosheka tu? kwa nini ulioa? ulitakiwa uoe ukishatosheka wanaolipa wako wengi mtaani, utawapitia wote?

Huyu ni wa kale DHAHABU wewe, namega kesho sorry umechelewa ushauri wako umechakachuliwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…