Mama mkwe ananinengulia je ni mtego au?

mbona thanks ulizotoa nyingi kuliko ulizopewa...no wonder hata ushauri wako mbovu....
 
Chondechonde, nipatie namba yake nikusaidie ili asije akakunjia ndoa, pole sana nipo tayari kukusaidia mpwa, nimeshawasaidia wengi! namba yangu si unaikumbuka? haya fasta basi!
 
Chondechonde, nipatie namba yake nikusaidie ili asije akakunjia ndoa, pole sana nipo tayari kukusaidia mpwa, nimeshawasaidia wengi! namba yangu si unaikumbuka? haya fasta basi!

Mpwa soo nimemdadavua tayari, nilipowapa yalojiri naona kila mtu hapa kaja juu mpaka siredi imefutwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…