miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Kiilaaaa siku[emoji28] naonaga wanyaki na wachagga.Kama tu mabinti wa kichaga, harusi kila siku zinafungwa. Watuwacheeeeee
Kiilaaa jumamosi mapeemaaaa[emoji847]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiilaaaa siku[emoji28] naonaga wanyaki na wachagga.Kama tu mabinti wa kichaga, harusi kila siku zinafungwa. Watuwacheeeeee
YANI KAMA MUMEO KAAMUA OANENI... ACHENI UPUUZI WA KUJA KUFAA KISA MAMA MKWE.Sitaki tu kuwa mnafiki nimechukia kweli leo nina siku ya 5 silali nimemeza hadi dawa za usingizi Ila zimegoma nimepungua ndani ya siku 5 kila mtu ananiuliza tatizo nini, mchumba angu nae kapungua yeye ndokabisa hali Bora hata Mimi najikaza nakula kidogo mchumba angu tunapendana sana tumetoka mbali nimemvumilia mengi sana niseme tu kwa kifupi yeye ndo furaha yangu iliyobaki hivi wewe ungeweza kumpenda mtu anayekupitisha kwenye yote haya na hapa mchumba angu Bado yupo upande wangu lakini Bado Nina hali mbaya hivi sipati picha na yeye akinigeuka nahisi sitoweza kuishi tena utakuwa ni mwisho wa maisha yangu alafu unaanzaje kumpenda mtu ananinyima furaha natamani hadi nife kwajili yake hapa naandika hivi huku nalia na maumivu ambayo hayaelezeki wewe usiombe yakukute labda Kama hujawahi kupenda Bora mpendane alafu muachane wenyewe au mwanaume mwenyewe akuache unaweza vumilia badae ukasahau kuliko bado mnapendana Ila mtu anawaachanisha bila sababu ungeijua kidogo historia ya mahusiano yetu nahisi na ww ungenionea huruma tulitoka chuo uzuri nilimaliza nae hatuna hata mia tumeishi maisha magumu sana mpaka inafika hatua tunalalia andazi 1 wakati mwingne hatuli kabisa nimemvumilia ilifika hadi hatua Mimi natafuta ela nasingizia kwetu naumwa Nampa afate kuku vijijini aje auze nampenda sana kutoka moyoni mpaka sahivi tumefanikiwa alafu ndugu zake wananiona sifai alinambia hakuwahi kuwazaga swala la kuoa Ila Mimi ananioa kutokana na wema niliomuonesha ndomana naye anataka tufunge ndoa hata kama ndugu hawataki coz yeye siyo mjinga anajua tulipotoka na tuliyopitia imefika hatua natamani hata itokee shoti ya umeme tuungue tufe watukose wote
Nikweleze ulipoteleza?
Kiilaaaa siku[emoji28] naonaga wanyaki na wachagga.
Kiilaaa jumamosi mapeemaaaa[emoji847]
Ujue me naangalia haya mapovu tuu hapa [emoji23][emoji23]Eeh tunatrend tu kule kwa Gara B [emoji23][emoji23][emoji23]
#SaItakuaje#
Hujui jinsi ya kuwin mama Mkwe maana miaka 7 hata hujafika umakuwani. Hapo ulijikwaaNdiyo nieleze
Mtihani mgumu Sana huu kwa mwanamkeUkisikia mtihani wa maisha ndio huu sasa
Aiseee[emoji134]
Muulizeni ni nini sababu ya yeye kufanya hivyo
Huyu aliwaweza aisee [emoji3]Kosa lako ni siku ya kwanza ulipo kutana na huyo mama mkwe wako.
Unaonekana ni mchaga na unajiona mchaga wa kweli.
Mara nyingi hatutaki kujifunza universal tabia, tumeshikilia vitabia vya kikabila na majisifu mengi hayo ndio matokeo.
Kuna kidada kila kukicha lazima kipost mambo ya kikwao, ujinga sana.
Kuna rafiki yangu ni mtu wa iringa alioa huko huko kwenu, lakini huyo msichana alikua anajua nini anafanya.
Kwanza alijifunza tabia za wahehe, na maneno machache ya kihehe, walipata shida sana kukubali kwamba yule dada ni mchaga.
Hadi leo, anapiga magoti kuliko hata wadada wa kihehe anapo salimia .
Ila jamani tuzungumze generally.. tutoe ukabila.
Kwanini huwa wapenzi wakitangaza ndoa changamoto kama hizi huibuka? Yaan mitihani inakuja ambayo hujawahi hata kuisikia wala kuona
Yupo kijana ametaka kuoa. Kulikuwepo na housegirl kwao. Kale kabinti kalikua kana mambo mengi sana. Kijana wala haishi same place. Anakuja nadra sana anaishi mkoa tofauti...
Binti akaondoka kwa jeuri.. imepita miezi minne binti anatafuta namba ya kijana kwa udi na uvimba hasemi sababu. Kumbe ana mimba kubwa. Mimba ina miezi 6 ila yeye akadanganya lile gap la miez minne aloondoka. Mamake akampigia mama w kijana kumpa taarifa. Binti akapelekwa na mamake walmtoe mimba. Kimchekanes walmtukana mama na mtoto wakamwambia mbona mimba si ya miezi minne ni 6 hii? Mama akapata aibu. Basi binti akakazia kwa bqana harusi mtarajiwa apate namba. Watu wanahoji iweje awe mpenz wako kisha akupe mimba na usiwe na maqasiliano naye?
Binti alikuja kubanwa sana ndo akasema ukweli kwamba alidanganya hajawahi kuwa hata na mahusiano na kijana ila aliangalia wapi kuna nafuu ya misha muangushie mzigo apatenafuu ya maisha yeye na mwanae...
Ndugu, jamaa na marafikiwakashauri kijana ajikaze mitihani ni mingi na mikubwa itazidi kuja muhimu awe makini.
Nimekusimulia hiki kisa chagga ili ujue changamoto kipindi kama hiki huja sana aisee. Yaan usiogope.nakushauri uwe mvumilivu sana kwa sasa. Usifanye maamuzi kuridhisha nafsi yako halaf uje kujuta baadae. Usiogope hata. Kama ni wako atakua wako tu. Ukute hata pia si yeye mumeo munaachana tu unashangaa posa ingine hii hapa muda mfupi na ukaoleewa. Miaka 6 ya mahusiano isikuumize hata kidogo.
Huu ndio ushauri mama ....Kuna mambo huwa hayalazishwi. Mama na mtoto wana bound ya milele. Mchumba akitenda kinyume na matakwa ya mama ndoa yenu itakua na changamoto nyingi za upumuaji.
Ni afadhali mpate aibu ya kutolewa mahari na kutoolewa kuliko kuishi kwenye ndoa isiyo na amani. Ingekua uko kwenye ligue na mwanamke mwingine ningekishauri usife moyo lakini ligue na mzaa chema ni ngumu sana.
YANI KAMA MUMEO KAAMUA OANENI... ACHENI UPUUZI WA KUJA KUFAA KISA MAMA MKWE.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mh [emoji45] aisee this is bad kwa watoa comments please tuangalie maneno ya kuweka hapa, this situation is badSitaki tu kuwa mnafiki nimechukia kweli leo nina siku ya 5 silali nimemeza hadi dawa za usingizi Ila zimegoma nimepungua ndani ya siku 5 kila mtu ananiuliza tatizo nini, mchumba angu nae kapungua yeye ndokabisa hali Bora hata Mimi najikaza nakula kidogo mchumba angu tunapendana sana tumetoka mbali nimemvumilia mengi sana niseme tu kwa kifupi yeye ndo furaha yangu iliyobaki hivi wewe ungeweza kumpenda mtu anayekupitisha kwenye yote haya na hapa mchumba angu Bado yupo upande wangu lakini Bado Nina hali mbaya hivi sipati picha na yeye akinigeuka nahisi sitoweza kuishi tena utakuwa ni mwisho wa maisha yangu alafu unaanzaje kumpenda mtu ananinyima furaha natamani hadi nife kwajili yake hapa naandika hivi huku nalia na maumivu ambayo hayaelezeki wewe usiombe yakukute labda Kama hujawahi kupenda Bora mpendane alafu muachane wenyewe au mwanaume mwenyewe akuache unaweza vumilia badae ukasahau kuliko bado mnapendana Ila mtu anawaachanisha bila sababu ungeijua kidogo historia ya mahusiano yetu nahisi na ww ungenionea huruma tulitoka chuo uzuri nilimaliza nae hatuna hata mia tumeishi maisha magumu sana mpaka inafika hatua tunalalia andazi 1 wakati mwingne hatuli kabisa nimemvumilia ilifika hadi hatua Mimi natafuta ela nasingizia kwetu naumwa Nampa afate kuku vijijini aje auze nampenda sana kutoka moyoni mpaka sahivi tumefanikiwa alafu ndugu zake wananiona sifai alinambia hakuwahi kuwazaga swala la kuoa Ila Mimi ananioa kutokana na wema niliomuonesha ndomana naye anataka tufunge ndoa hata kama ndugu hawataki coz yeye siyo mjinga anajua tulipotoka na tuliyopitia imefika hatua natamani hata itokee shoti ya umeme tuungue tufe watukose wote
Yaan unashangaa hili jambo imewezekanaje kutokea. Na watu ujur hawakuelewi kbsKuna kanisa fulani wakiwa katika mchakato wa ndoa au kupata makasisi wapya huwa wanasema tuwaombee wahusika. Ulisikiliza juu juu unaona hawana maana lakini majaribu ni mengi sana.
Ndiyo ninauhakika asilimia 500 kabisa, maana nina case 4 za wazazi kukataa wachaga pale mafinga na 1 iringa mjini, Mbeya zipo za kutosha tuUna uhakika?