Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

YANI KAMA MUMEO KAAMUA OANENI... ACHENI UPUUZI WA KUJA KUFAA KISA MAMA MKWE.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Yani hii movie naifananisha na ile ya majuzi kati,yani director ni yule yule....

movie zimetofautiana majina tu ila mtunzi wa script ni mmoja nadhani,,eti dada....

Makiseo unaonaje huu mtanange una pishana na ule kweli,mi naona vita ni 1 mission tu ndio tofauti 🤣.....
 
Mnaweza kumpuuzia mama mkwe hata baba mkwe kwa mateso yenu baadaye. Hapo si mamakwe pekee, ni ukoo mzima hautaki wachaga. Japo sipendi kujumuisha, mabinti wa kichaga hawana soko tokana na utamaduni wao wa kutembea na ndugu zao, uchoyo, ubinafsi ambapo upande wao ndiyo unaoenekana wa maana na kupenda vitu. Mbali na hiyo, hata kale kamchezo ka kuua waume bado kanawaponza. Mapungufu yote hapo juu yanaweza kuwa yasiyo na mashiko na suala la mtu binafsi, ila ndo nyingi za mama wa kichaga kwa chasaka ni matatizo matumu mjukuu wangu. Pia wachaga na warangi huwa hawapendi kuoana suti kwa vile wanajuana kamchezo kao ka kutoa urodi kama njugu hata kwa ofa ya bia. Pamoja na usomi wangu wa kiwango cha juu, sipendi mwanangu aoe au kuolewa na mchaga na baadhi ya makabila yenye tabia chafu sana. Mfano, tabu ya wachaga wengi kila mtu ni anko kumbe ndo mshikaji wake.
 
Eeh tunatrend tu kule kwa Gara B [emoji23][emoji23][emoji23]
#SaItakuaje#
Ujue me naangalia haya mapovu tuu hapa [emoji23][emoji23]

Eti jamani.. gara waat? Ujue utafikiri jumamosi hii hakuna ndoa[emoji23]
Sema sasa hivi ni kwaresma tumewapumzisha. Yaan tukifungulia kama zootee[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]

Nyie tupondeni lakini mtaani tuko pamojaaa... hizo tabia watu wanazosema jaman utafikiri makabila mengine hakunaga[emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Huyu aliwaweza aisee [emoji3]
 
miss chuga, una uhakika hujachanganyikiwa?

Miaka 6 unapigwa paipu bure hata hujawahi kufika ukweni, unastuka kuachwa leo akili zimekurudi roho inakuuma... usiku ulipokwisha!

Umewahi japo kutema mate na kulamba limao?
 

Kuna kanisa fulani wakiwa katika mchakato wa ndoa au kupata makasisi wapya huwa wanasema tuwaombee wahusika. Ulisikiliza juu juu unaona hawana maana lakini majaribu ni mengi sana.
 
Huu ndio ushauri mama ....

Focus mbele zaidi wacha habari za kumbebea mimba ni mawazo mtindi..kama ipo basi ipo kama una let's say miaka 26 - 28 bado bado upo kwenye soko
 
Mh [emoji45] aisee this is bad kwa watoa comments please tuangalie maneno ya kuweka hapa, this situation is bad
 
Kuna kanisa fulani wakiwa katika mchakato wa ndoa au kupata makasisi wapya huwa wanasema tuwaombee wahusika. Ulisikiliza juu juu unaona hawana maana lakini majaribu ni mengi sana.
Yaan unashangaa hili jambo imewezekanaje kutokea. Na watu ujur hawakuelewi kbs
 
Una uhakika?
Ndiyo ninauhakika asilimia 500 kabisa, maana nina case 4 za wazazi kukataa wachaga pale mafinga na 1 iringa mjini, Mbeya zipo za kutosha tu
......japo kuna watu wa maeneo hao wameoa wachaga.....ila ningumu kwa kijana kueleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…