Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

I know a couple (wote n marafiki zangu tokea tukiwa chuo undergraduate) jamaa n msukuma, binti mchaga wa Rombo. Walidate kwa miaka 5, na Moja ya sababu jamaa kusubiri n aweze kumsoma binti vema na alikua ashapewa somo tokea zamani akiwa sekondari kua usije oa mchaga na ndugu zake wa karibu lakin yule Dada alimprove wrong vitu vingi na jamaa alimpigania na alikua tayari kwa lolote na alimpigania Sana binti aliamini jamaa kampenda kweli kweli and she was right na akawa anajisifia saaana kwa marafiki zake.

Balaa likaja Dada alipomaliza masters na kupata kazi nzuri shobo za ki harakati zikawa nyingi,kujiamini Sana na hata akikosea she still challenge jamaa badala ya kukubali kua kakosea anakomaa tu na she wants to be right yaani (egotistical).

Fast toward, Wali Achana 2018 April (jamaa alimwacha) Dada akabembeleza had kutaka kujiua jamaa akamrudia December same year, then December 2019 jamaa akamuacha mazima mpaka Leo. Na plan ilikua March 2020 akatoe Mahali, July harusi na comment Yake ilikua hivi.

"Kwa izi tabia zake xxxxx me sitamweza, tutashindwana apate mtu ambae atamweza, mimi nmejaribu nmeshindwa ni bora kuvunja uchumba kuliko kuvunja ndoa"


Hizo tabia ndo ulizozisema kwenye post yako. Since that time jamaa Hana time tena na ma binti wa kichaga japo ndo weng anaokutana nao na ni wazuri. Cha kushangaza, watu wengi ambao waliokua wanaijua couple Yao tokea chuo, jamaa akikutana nao wakimuuliza akiwaambia situation weng husema "yule xxxxx angekusumbua tu" n kama vile watu wa pemben walishaisoma ramani Sema hakukua na mtu wa kumwambia directly.

Nb: jamaa yupo vizuri financially na yeye Ana masters, na alikua kamzidi binti kipato na exposure tena mbali tu kwa Sasa n bonge Moja la senior bachelor.

So izo tendency za ubabe na u much know wadada wa kichaga wanazo Sana.



 
Ndoa bado changa sana.! Sidhan Hata miak 2 imepita
 
Ana haki kwani wachaga hawafai hata kudate. Wana tabia ya kuingiliana ndugu kwa ndugu.
 
Mkaka hataki kumsikiliza mama yake. Je, atafanya kweli? Tusubiri mrejesho.
Bora umejua mapema na huyu mkaka aoe kwengine, huyo mama angekusumbua sana kwenye ndoa yako na inavyonekana huyo mwanaume anamsikiliza mama yake zaidi,bora umejua mbichi na mbivu mapema, ndoa yako ingekua ngumu sana
 
Mnawaonea bure wachaga.
Si wote wenye Tabia hizo.
 
Ndoa bado changa sana.! Sidhan Hata miak 2 imepita
So wataka kusemaje!?!?.... Mana kuna ndoa hazimaliz wiki kadhaa, mwez au mwaka.... Mm nshakata miwil na wala siwaz kama mtu aliyekata tamaa.... Am vry positive my friend, nipo committed and ready kwa lolote ktk maisha yang ya ndoa since i choose to follow my heart........on top of all namjua niliyenae vzur zaid kuliko ww....
 
Ndoa bado changa sana.! Sidhan Hata miak 2 imepita
Ooh nimesahau kukuuliza yako ni ana miaka mingap?! Mana kuna zenye miaka 10 na bado zimevunjka...... Ndio si jambo la kuchukulia kibinadamu xana mana ni sheria ya muumba hvyo anatakiwa kuhusika sanaa ili kuitunza.... Na wala si mashindano.... Haijalish kabla gan....
 
# Ndoa si jambo........... (correction)
 
If you are destined to marry that man, he will surely be your husband, jipe muda na silazimishe
 
aibu ni ya muda tuu....ndoa ni maisha bibie.......umenogewa na ukuni unatafuta sababu za kulazimisha au kujiaminisha kwamba ndie chaguo lako.......mwambie mama yako hali halisi....babako atapewa taarifa....litajadiliwa litapita.....ila mahari lazima uirudishe.....kama wamekula wazazi wako uitafute irudi kwa wenyewe......la sivyo ndoa utaisikia kwa mengeleni kwa jirani tuu....ukijistukia makunyanzi hayooo....zungumza na MUNGU wako.......yeye ni muaminifu....hata katika hili atakuvusha...
 
Tabia ya mtu haina uhusiano na kabila lake.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
That's your theory and ain't nothing wrong believing in that. Labda nikutane na wachaga wenye attitudes tofauti but bado sijakutana nao.

Kama we n mchagga pole Sana, it's not personal attack to chagga tribe just life tu.. So no pressure baby
 
Kosa lako umezaliwa mchaga na kiherehere cha moyo wako umempenda mmakuwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œ!
Ushauri: rekebisha moja kati ya makosa hayo πŸ‘†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œ!
 
That's your theory and ain't nothing wrong believing in that. Labda nikutane na wachaga wenye attitudes tofauti but bado sijakutana nao.

Kama we n mchagga pole Sana, it's not personal attack to chagga tribe just life tu.. So no pressure baby
Mimi siyo mchaga na wala sitokei huko kaskazini.
Haya maneno nimekuwa nikiyasikia sana..hadi nilipobahatika kwenda chuo,nikakutana na wachagga wengi sana kanisani.
Hizi sifa mbaya zinazosemwa juu yao wala sikuwahi kuziona kwa miaka yote niliyoishi nao hapo.


Yawezekana mchagga wa huyo jamaa alikuwa na shida lakini hii si sababu ya kuconclude kwamba wachagga wote wana matatizo.
Huo ni ubaguzi mkuu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 

Binafsi, hili nmeliona hata kwa mabinti wa kichagga nlio date nao.. So I can affrim kua kuna issue apa. Japo sio wote ila weng wapo kwenye ili kundi.
 
Binafsi, hili nmeliona hata kwa mabinti wa kichagga nlio date nao.. So I can affrim kua kuna issue apa. Japo sio wote ila weng wapo kwenye ili kundi.
Umedate na wangapi?
Ukute hata wa5 hawafiki ila mnakuja waingiza wachagga wote kwenye hizo tabia .

This is not fair.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…