Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Mama ni mjinga. Anashauriwa na ndugu wenye wivu. Ni bahati mbaya uwe na mke mchaga kama familia ukose maendeleo.
 
Ndoa mtihan dada
Lakini yeye aliona signs toka kabla ya ndoa akadelay kuchukua hatua. Alicheatiwa na kukataliwa ukweni ilikuwa sign tosha ya kuondoka ila sasa hivi anajuta maana na mume hayupo upande wake tena.

Ni mara mia ukaitwa single mother ila ukawa unaishi kwa amani kuliko kuishi katika ndoa ambayo upo single kama mtoa mada. Imebaki kuanza kupigwa tuu maana kashapitia kila kitu ( simuombei) na ndoa haina hata 2 yrs
 
Imeshathibitika kuwa yule mtoto si wa DIAMOND au hujui hilo?
Haina ukweli wowote, hawajapima dn, wanasema wa bill nas mabeto alisema yeye ndio anajua baba wa mtoto, na sio nenga yuleyule anayesikiliza watu.
 
Wamachame wamesababisha yote haya.
nawapenda wanadamu wote, ila siwaamini wanadamu wote. niwe mkweli, nilishawahi kuwa na matarajio ya kuoa mmachame mmoja, aliitwa kimaro, woga ukanikamata, nikamtupa huko. ile roho ya kupenda sana pesa kuliko utu inawaponza sana ndugu zangu hawa.
 
Ana pwenti na anataka kukuokoa na balaa la kujitakia. Kwani wanawake wameisha hadi uoe mchaga au mpare?
 
Mwanaume anapaswa atumie AKILI sio moyo Wala hisia zake.
 
Kusema kweli mikoa ya Mbeya na Iringa kwenu ukisema unaoa uchagani hakuna anayekuelewa.....sijui wachaga waliwafanya nini wazee wetu, nimeishi mikoa yote, wazee wengi wamewasusia watoto wao Proposal za kuoa uchagani
Assay anapenda kuelewa na assenga sio mwakasafyuka wa mwakaleli.
 
Nyie wa dini ipi? Kama ni Waislam kuna sheria za ndoa za Kiislam, kama wa dini nyingine, nawashauri muwe Waislam.
 
Kusema kweli mikoa ya Mbeya na Iringa kwenu ukisema unaoa uchagani hakuna anayekuelewa.....sijui wachaga waliwafanya nini wazee wetu, nimeishi mikoa yote, wazee wengi wamewasusia watoto wao Proposal za kuoa uchagani
Wachaga wengi % kubwa wanaolewa sana na wasukuma...
 
Kuna ile dhana ya kwamba kijana akioa uchagani anapotelea huko huko sababu wachaga ni wajanja wajanja. kwamba akizubaa hata watoto watajua uchagani tu na si huko mikoani kwao.

Jitahidi kumwelewesha mama mkwe wao atakuelewa kwamba wewe utatunza familia na hutakuwa na upendeleo na pande zote mbili zitakuwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…