Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
WoodlandHivi ni kweli wanawake wa kichaga wanatabia za kutazama pesa tu kuliko upendo kwa wenza wao
Kauli hii unaikumbuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WoodlandHivi ni kweli wanawake wa kichaga wanatabia za kutazama pesa tu kuliko upendo kwa wenza wao
Nikki wa piliHata angekuwa mwanangu ningemzuia kuoa mchaga maana wengi hawana utu, wao pesa Mbele
Robert HerielOyaaa ! Hebu mleteni yule taikon wa fasihi bila shaka ana majibu.
Oyaaa ! Hebu mleteni yule taikon wa fasihi bila shaka ana majibu.
Wamama wa kichga ni wamama watulivu mno , wana adabu kwa wame zao hata kma hawana kipato , wadada wakichaga hawafai kbsa ukiwalinganisha na mama zao hawafiki ata robo.Hii notion bado ipo saana ila wanawake wa kichaga hawako hivyo tena
Nafikiri waliponzwa na wamama wachache wa kichaga waliokuwa na tamaa ya mali.
Pole dear.... Jaribu kumshirikisha mtu wako wa karibu sana.......Muombe Mungu pia anakupitisha kweny jaribu na utalishinda.......huyo mkaka akiongea kitu kwa sasa we kubali kwanza na usionyeshe kumchukia mama ake.....hadi hapo suluhu itakapopatikana
Mrejesho upo kweliNtaleta mrejesho usijali
Mrejesho upo kweli
Yakiwashinda mnatujumlisha komaPole Sana ndg; ila kwa muono wangu mimi huyo jamaa yako Kama atakuwa na msimamo juu yako hakuna kitakachoharibika..
Kaa nae chini myafanyie kazi Tena Kama Bimkubwa Ni msalisali Basi fanyeni mazungumzo na mchungaji wa kanisa lake au mtu yeyoye ambaye mnahisi anaweza kumskiliza..
Ila tatzo lenu wadada wa chuga wengi wenu mnakuwaga ma sistaduu Sana sometimes wew mwenyew unaweza kuwa kikwazo..
Pole sana kwa changamoto. Na hongera sana kwa kuvumilia kwenye mahusiano kwa muda mrefu na kukubali kutoka chini na mtu unayempenda.Habari zenu wapendwa?
Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba.
Baada ya hapo wakualiana na wazazi harusi iwe mwezi wa 4 mwaka huu Ila baada ya muda mama yake akamwambia naomba harusi mfanye mwezi wa 7 nataka nijipange sherehe iwe kubwa tukamkubalia kupeleka hadi wa 7 Ila Cha kushangaza juzi kipindi wamekaa kwenye kikao Cha kuandaa kamati ya harusi mama mtu akasema harusi isogezwe tena iwe mwezi wa 10
Baada ya mwanae kumbana mama yake kuwa kwanini kila cku unapeleka mbele akamwambia sitaki uowe mwanamke wa kichaga ndomana nafanya hivi, kiukweli mwanae alichukia sana kuskia hiyo kauli akanipa mrejesho kuwa mama yake hataki anioe kisa mimi mchaga Ila kwakuwa nakupenda tumeshirikiana mambo mengi siwezi kukuacha tutafunga ndoa mwezi wa 8 bila hata ndugu zake kuwepo atasimamia shoo mwenyewe bila msaada wa ndugu zake nikamwitikia sawa.
Ila hapa nawaza usikute huu uamuzi ameuchukua sababu ya hasira nahisi Kama akitulia atanibadilikia asikilize ndugu zake aniache na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimetoka naye mbali kanipotezea muda na hivi kapeleka hadi mahari kwetu watu wanasubiri harusi.
Kama akinibadilikia sijui hii aibu tutaibebaje na familia yangu, nimechanganyikiwa mpaka nawaza sijui nimbebe tu mimba ili azidi kuwa na msimamo aogope kupoteza mke na mtoto!
Ila nakosa jibu huyu mama simuelewi kwanini ananifanyia hivi Kama alikuwa hataki niolewe na mwanae kwanini hakumzuia kipindi anapeleka mahari wakamsapoti apeleke, kinachoniumiza ni aibu kwetu mahari imeenda alafu ikitokea tukiachana kisa mama yake aibu itakuwa kubwa Bora hata angekuwa hajapeleka mahari.
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje kulishinda hili jaribu lililopo mbele yangu, Ndugu zangu Bado sijawambia Kama Kuna huu mgogoro maana hata sijui watalipokeaje nachanganyikiwa Mimi jamani
Hivi kwa nini makabila mengi wanaogopa sana mabinti wa kichaga? Wajanja wajanja sana?Hii notion bado ipo saana ila wanawake wa kichaga hawako hivyo tena
Nafikiri waliponzwa na wamama wachache wa kichaga waliokuwa na tamaa ya mali.
Mama mkwe yuko sawa. Mpare na Mchaga umuozeshe mwanao! Nani anataka kahaba nyumbani. Heri ya Mhaya hata Mnyaturu kuliko mchaga tena mmachame. Yethu! Wanajamiiana kama inzi, kaka dada, mjomba shemeji baba mkubwa na mdogo mradi kila ajaye anapewa tuMaamuzi anayo mumeo mtarajiwa(mchumba).
Ila angalia miaka 30 mbele, usipokubalika wewe ujue hata wanao, wajukuu wa mama mkwe wako hawatakubalika.
Kama amani hakuna usilazimishe, japo wanaume ni wachache ila bado wako wengi duniani.
Kama una roho ya kupambana ingia ulingoni olewa, ila usilazimishe sasa hivi halafu baada ya miaka 2 ukimbie ndoa kuwa mama mkwe sio... dalili umeziona mapemaaa.
Mapenzi yatakuumiza, ukiyapuuza uliyempenda sana pia unamsahau vilevile na anakuja mwingine anakava nafasi ya jamaa.
NB: Kiukweli nimesoma kichwa cha uzi tuu, uzi wenyewe sijausoma 😜😜