Spinach? inadolewaga nyama tu sipinachi unaonja hudokoi.Eti spinachi jamani
sasa ndiyo amjibu hivyo mama mkwe wake.Spinach? inadolewaga nyama tu sipinachi unaonja hudokoi.
Umenikumbusha nilitaka kudokoa andazi juu ya kabati kwenye beseni.. bahati mbaya beseni likapolomoka.. maandazi yote yakamwagika na beseni likapasuka.. Alafu nipo ugenini.. aibu yake sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha nilitaka kudokoa andazi juu ya kabati kwenye beseni.. bahati mbaya beseni likapolomoka.. maandazi yote yakamwagika na beseni likapasuka.. Alafu nipo ugenini.. aibu yake sasa
Iweke kabatini mkuudah yaani cjui sura yang niiweke wap?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha nilitaka kudokoa andazi juu ya kabati kwenye beseni.. bahati mbaya beseni likapolomoka.. maandazi yote yakamwagika na beseni likapasuka.. Alafu nipo ugenini.. aibu yake sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha nifurahi kwanza....mama mkwe atajua mkwewe hayuko nyuma kwenye mambo mazuri.kama mada inavojieleza ushauri jaman
haha haaJf huu mwezi imekumbwa na pepo... sio kwa hizi sredi[emoji23][emoji23][emoji23]
dyu niseme mama mkwe kanikuta nakula mbogaRudi uimalzie mboga yote iliyobaki ili habari ikamilike mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]
nahic napokonywa mkempe kidogo na yeye ili asikusemee.
dyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha nifurahi kwanza....mama mkwe atajua mkwewe hayuko nyuma kwenye mambo mazuri.
harufu ya kuku nikajaribu nionje kipapatioUache ulaku.
ukweni ingekua nyumbani ningekua nakula mbogaUmedokoa ukiwa nyumbani kwako au kwake??