Mama mkwe kanikuta nadokoa mboga

Mama mkwe kanikuta nadokoa mboga

Umenikumbusha nilitaka kudokoa andazi juu ya kabati kwenye beseni.. bahati mbaya beseni likapolomoka.. maandazi yote yakamwagika na beseni likapasuka.. Alafu nipo ugenini.. aibu yake sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rudi uimalzie mboga yote iliyobaki ili habari ikamilike mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom