Mama Mkwe kasababisha nimpe mimba mke wa mtu!

wewe anza
na kwa njaa zao watakushikisha ugoni,
utamkuta mtoto miaka ijayo atakuwa ameshakuwa mkubwa.
 
inategemea na msimamo wa huyo dada, lakini hii haiondoi kosa la kutokuwa wawazi na kweli kwako vilevile hio pair walivyotengana walikuwa kwenye process za talaka?
je huyo mimba si wako? kama mimba yako take responsibility ya mtoto kaka, hiyo ni damu yako
 
mi mwenyewe nina hamu ya kujua.....ila huyu jamaa anaonekana ni mtaalam wa fabricated stories
au anafanya kazi kituo cha ushauri nasaha nini afu anatumia ideas zetu kutolea ushauri....eti HP...!!??
 
pole sana kaka kwa kutotaka kufanya upelelezi kabla ya mapenzi kamili, najua ulikula ukanogewa sana , sidhani kama kuwa haukuwai kudokezwa juu ya sakata hili. Kwa mtindo huu wa kutopeleleza hata ngoma inaweza kukukumba je ungekuta mme kafa kwa ngoma?

Wanawake wengi wana siri nyingi, ndio maana wanaume wengi akitangulia kufa mama wanashukru sana kwa kujiaminisha kuwa niwazaliwa kamili wa pale, kwa kuwa mama anaweza kubadili mawazo na kusema kuwa huy siye Baba yako babayako ni fulani.

Na ukikumbuka kuwa huyu ambaye siyo babayako wa damu amekulea amekugharimikia sana, jifunze kupeleleza mambo ya muhimu kuhusu maisha yako ya baadaye
 
siku zote huyo bwana alikuwa wapi kumtafuta mkewe hadi ashtuke ana mimba ndio akutafute? nahisi lipo jambo labda huyo bwana si lolote i mean hana uwezo wa kuzaa naona wamepanga iwe hivo ili mkewe apate mimba ndio warudiane tena. naona wote mama mkwe na binti na hicho kidume uzembe walipanga.huyo bwana usikubali kuachia vyote.
 
huyo mke wa mtu hana watoto kwa mme wake?
ni migogoro ipi ilifanya wakaachana? ndoa ya muda gani?
 
chukua chalia ako mapema,
 
Nikishakuwa na frustration zangu tu, huwa nakimbilia kwenye hili jamvi manake najua sikosi kuta visa vya uwongo na kweli! Hata hivyo, huwa naingia wakati ubongo ukiwa hovyo na kutoka nikiwa freseeeeesh!! JF bana, we acha tu!
 
Hapo alee tu hiyo mimba na mtoto akizaliwa atoe mahitaji yote muhimu, ila huyo mke achana naye mke wa mtu..
 
Umefikiria sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…