Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au anafanya kazi kituo cha ushauri nasaha nini afu anatumia ideas zetu kutolea ushauri....eti HP...!!??mi mwenyewe nina hamu ya kujua.....ila huyu jamaa anaonekana ni mtaalam wa fabricated stories
Umefikiria sana...siku zote huyo bwana alikuwa wapi kumtafuta mkewe hadi ashtuke ana mimba ndio akutafute? nahisi lipo jambo labda huyo bwana si lolote i mean hana uwezo wa kuzaa naona wamepanga iwe hivo ili mkewe apate mimba ndio warudiane tena. naona wote mama mkwe na binti na hicho kidume uzembe walipanga.huyo bwana usikubali kuachia vyote.