Mama mkwe katuma tena SMS. This time nimemjibu, ebo!

Aisee miezi miwili umeshindwa kumpachika mke wako mimba?????
Kuna kosa huwa tunafanya ktk majibu tunayotuma ktk mitandao ya jamii.

Tunajibu mambo ya msingi kwa majibu mepesi na ya ajabu ajabu kama vile kila kitu ni mzaha. Kibaya zaidi, jamii inasoma kila tunachoandika. Pengine waweza kuona ni sifa, japo mimi naona ni ''sifa za kijinga'' (Mniwie radhi kwa maneno hayo pengine yakawakwaza baadhi)

Ni vyema ukampa mtu ushauri wenye tija ktk jamii nzima ya JF maana sote tunasoma na mpaka mtu aamue kutuma thread kama hii humu, ni jambo limembana. Kwa vile hatulingani kwenye kufikiri, basi tupeane majibu yenye tija. Unafikiri mwanamke anajazwa mimba kama ndoo ya maji bombani hata uone miezi 2 kuwa muda mrefu sana????
Chonde chonde ndugu zanguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja resi nikajua umemjibu"ebo!'

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
Huyo mama anataka kukufundisha kazi. Sasa akikujibu tena mwambie, mama inawezekana kuna mahali nakosea, basi naomba tukutane gest fulani uje unipe maelekezo ili nikirudi kwangu shughui iwe rahisi tu...
 
Poleni wanaume wote waliooa makabila ya kiswahilini.

Mleta mada utakuwa umeoa watanga, wazalamo , wakwere , baadhi ya sehemu ya moro.

Hivi jamani, mama mkwe utaanzaje kumtumia sms mkwe wako?

Vip umemwambia mwanae?

Ushauriakituma sms tena mjibu hivi:

"Mama mimi sio mungu kama una haraka mtafutie mwanao wa kukutimizia hitaji lako.

Kha huyu mama vip? Kama mwanae ndo hashili mimba?
 
Huyo mama anataka kukufundisha kazi. Sasa akikujibu tena mwambie, mama inawezekana kuna mahali nakosea, basi naomba tukutane gest fulani uje unipe maelekezo ili nikirudi kwangu shughui iwe rahisi tu...
[emoji3]

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Yan ananipa wakat mgumu sana

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Naona future mbaya katika familia yako.Ma Mkwe wako hajiheshimu atakupelekesha sana usipokua makini
 
Mwambie hivi. Vyote vyatoka kwa bwana wetu yesu kristo.utajiri na mema yote yanatoka huko.biblia inasema watoto ni zawadi.mnaweza kupata hao watoto ikawa sio riziki.ngoja wakati ufaao anayejua ni muumba tuu. Hayo ayatakayo ni machukizo kwa bwana.anajuaje km mwanae sio tatizo ?,ongea na mwenzako umsikie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninapoyatumbua Mafisadi Basi Wengine Wananuna Midomo Kama Vyura By Jpm Akiwa Ziarani Tabora!!
 
Ushauri wangu; muonye mkeo aache kujadili mambo yenu ya ndani na wazazi/familia yake ya zamani. Ana ishu yoyote inayowahusu, basi aipeleke nyumbani kwenu kwa kwa mama/shangazi/mama yako mdogo. Wataanza na vitu vidogo kama ujauzito baadae utapangiwa na mama mkwe siku za kumdandia mkeo, umlishe vyakula gani, avae nini, umpikie, umfulie nguo za ndani, mkikoromeana we ndo una matatizo!!! Wanaanzaga mdogo mdogo, na jinsi unavyodeal na hili suala, lazima hayo niliyoyataja yakupate tu, huna namna tena!!! Shauri yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…