Mama mkwe katuma tena SMS. This time nimemjibu, ebo!

so issue ni mke kusema kwao,ila akisema kwa mwanaume sawa!
AND U CALL URSELF A MAN!
yuuuuuuck
 
so issue ni mke kusema kwao,ila akisema kwa mwanaume sawa!
AND U CALL URSELF A MAN!
yuuuuuuck
Mwanamke akishaolewa mambo yoote yanayomshinda ya ndani, narudia tena, yaliyomshinda ya ndani anashtakia ukweni. Otherwise hiyo ndoa inavunjika wakati inafungwa. A man will always be a man, regardless of education or social status.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebana eeh, hiyo inaitwa kuingilia faragha. Na ulisema umeoa miezi miwili tu iliyopita.

Lo! Huyo mama mkwe kiboko ww nimsatarabu sana, nakusifu maana angekutana na majibu mpaka ajichungulie kha!
 
Mama mkwe wa mwendokasi.... [emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️
 
BABA MKWE yupo hai?
Alishatangulia mbele ya haki. Na kwa bahat mbaya mamkwe aligombana na upande wa bamkwe hivo hakuna mawasiliano kabisa hata kwenye harusi hapakua na upande wa baba

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Nakuelewa sana.

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
inaezekana ana ujauzito wa mwwanaume mwingine yan kabla sijamuoa au?? hebu fafanua mkuu
Yap! Huenda umefunga ndoa na mwanamke ambaye tayari ana ujauzito wa mwanaume mwingine, hebu kuwa makini kwepa kufanya nae tendo la ndoa akiwa kwenye siku za hatari, subiri ipite kama miezi minne hivi ili hata kama atakuwa na ujauzito utaonekana vizuri tena unampeleka hospital kabisa ili ujue ni wa miezi mingapi kisha fanya calculation
 
EDUCATION NA SOCIAL STATUS VIMETOKEA WAPI?
and who said a man will be a dog?


WATU MKIWA NA MAMITAZAMO DUNI DHIDI YENU WENYEWE MNA WAZA KILA MTU ANAWATAZAMA HIVO!
wapi nimeongea kuhusu jinsia na nafasi ya kijamii ya mwanaume au kielimu?
HEBU KAA VIZUR KAKA!
 
Alishatangulia mbele ya haki. Na kwa bahat mbaya mamkwe aligombana na upande wa bamkwe hivo hakuna mawasiliano kabisa hata kwenye harusi hapakua na upande wa baba

An ant on the move does more than a dozing ox.
ANAMMISS MUMEWE!
 
NA KUHUSU KUSHINDWA MAMBO YA NDANI!kupelekwa ukweni
NANI ALIKWAMBIA NDOA INASULUHISHWA NA UPANDE WOWOTE?
kama wanandoa hamuwezi nyie wawili mkaongea yenu mkayaweka sawa,HAKUNA MTU!
HAYUPO!
AWE BABA MKWE MAMA MKE SIJUI NANI WA KUWAWEKA SAWA!
 
Are you married?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutakiwi kuwa na mazoea na ndugu za mwanamke maana watakukosea adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…