Ako Kwaang
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 324
- 259
Ndo anachokitaka, maswali gani hayo anamuuliza mkwe wake!!Huyo mama anataka kukufundisha kazi. Sasa akikujibu tena mwambie, mama inawezekana kuna mahali nakosea, basi naomba tukutane gest fulani uje unipe maelekezo ili nikirudi kwangu shughui iwe rahisi tu...
Sent using Jamii Forums mobile app