Mama mkwe katuma tena SMS. This time nimemjibu, ebo!

Hahahahahaaa ushaharibu, huyo alitakiwa akikutumia hivyo we mjibu kwa verse za kitabu cha dini tu, na usisubiri akutumie ndio ujibu, we mpe tu mistari ya dini mpaka atakaa sawa
 
Mkeo anamwambiaga mamake siri zenu ikiwepo ulivyo chini ya kiwango kummchikichia, wasiwas wao ni kua mkeo anataka mtoto bt unaonekana hauko imara, pole sana
 
Duuh
 
Kama sio mshwahili basi labda mchawi na anataka akatoe kafara katoto kenu( natania)

Ila mkuu nawe kwa upande wako umekuwa mzito sana... Ukimkosa kwenye fungate hakikisha danger inayofuata hatoki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…