Mama mkwe katuma tena SMS. This time nimemjibu, ebo!

Mama mkwe katuma tena SMS. This time nimemjibu, ebo!

...but majuz apa mbona "alichinja jogoo" kama kawaida
Bado hujakua kijana, yani ukija kukua kiakili utajidharau sana ukiona hizi thread zako.
Mambo ya kwenye ndoa yanaishia ndani, yani ww na mkeo. Mm nashangaa mtu na mkewe wanashindwa kusuruhishana alafu eti wazazi au viongozi wa dini wakija ndo wanawasuruhisha! Kwani kipi zaidi huwa wanafanya ambacho hamwezi kufanya nyie wawili?

Mimi sijaoa ila naomba ukue bro
 
We jamaa,huyo mama anajua kua mkeo hana matatizo ya uzazi,ila mashaka yapo kwako.Unachotakiwa kujiuliza,mamamkwe kapataje uhakika kama mkeo ni mzima kama huyo mkeo hajawahi kupimwa hospitalini...,au mwanae huyo alishapata mimba nyingi na akamshirikisha ***** na wakashirikiana kuzitoa hizo mimba,hivyo anaona mbona wewe humpi mimba mwanae kama wengine walivyompa na akazitoa.
 
Huyo maza angekuwa mkwe wangu ningemtumia msg ya kumtongoza then nikaskilizia. Aking'aka nasema nimekosea namba. But my gut tells me hawezi kukataa huyo.
 
Baba changamka baba tena ilitakiwa usiulize kabsa hapa ungekaza msuri kimya kimya lkn sio vibaya ebu endelea kutupa mrejesho.

Ukishidwa kujana basi mkodi mtu apige pigo moja takatifu nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mamtu mengine yanastahili kuongozwa na mtu kama DJ zeroo wa ufipani
 
Watu wanajibu harsh kwa sbb hawajavaa kiatu chako. Pole sana ila usikate tamaa
 
Dah! Ungemjibu hivi " mama ndio nipo hapa nashughulikia hilo swala, ile msg ya kwanza sikujibu kwasababu pia nilikuwa ndio nashughulikia hilo swala. Pia nikiandika msg nitapoteza muda, ngoja niendelee mama, usiku mwema kwenu sisi tupo kazini"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
hili jibu angelizimia aisee.
 
Back
Top Bottom