mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Maajabu hayaishi
Juzi kati nimeenda nyumbani kwa binti mmoja mbichi kabisa mara mama yake akatokea
Mtu mzima mwenzangu hapohaponikamwambia nimempenda binti yako nataka kumuoa
Mama mkwe akaniuliza maswali kadhaa kumbe alitaka kunichunguza
Wananzengo wakadema huyo baba hana shida ana roho nzuri,mpole ila malaya sana,anabadili pisi kama amerogwa.
Ghafla mama mkwe ananipigia simu na kuniambia hicho kitu huku akicheka na kunisihi nikimuoa bintiye niache umalaya.akasema bora malaya kuliko mlevi
Amenikabidhi binti yake rasmi na umalaya wangu