Kataaa ndoaMaajabu hayaishi
Juzi kati nimeenda nyumbani kwa binti mmoja mbichi kabisa mara mama yake akatokea
Mtu mzima mwenzangu hapohaponikamwambia nimempenda binti yako nataka kumuoa
Mama mkwe akaniuliza maswali kadhaa kumbe alitaka kunichunguza
Wananzengo wakadema huyo baba hana shida ana roho nzuri,mpole ila malaya sana,anabadili pisi kama amerogwa.
Ghafla mama mkwe ananipigia simu na kuniambia hicho kitu huku akicheka na kunisihi nikimuoa bintiye niache umalaya.akasema bora malaya kuliko mlevi
Amenikabidhi binti yake rasmi na umalaya wangu
�samia mitano tenaMaajabu hayaishi

Kwa ninavyoona hata huyo mama mkwe utamla na utaitwa mla kuku na mayai yake.Maajabu hayaishi
Juzi kati nimeenda nyumbani kwa binti mmoja mbichi kabisa mara mama yake akatokea
Mtu mzima mwenzangu hapohaponikamwambia nimempenda binti yako nataka kumuoa
Mama mkwe akaniuliza maswali kadhaa kumbe alitaka kunichunguza
Wananzengo wakadema huyo baba hana shida ana roho nzuri,mpole ila malaya sana,anabadili pisi kama amerogwa.
Ghafla mama mkwe ananipigia simu na kuniambia hicho kitu huku akicheka na kunisihi nikimuoa bintiye niache umalaya.akasema bora malaya kuliko mlevi
Amenikabidhi binti yake rasmi na umalaya wangu
Hili jukwaa la uzinzi hutaki nenda jukwaa la siasa shubamit mkubwa weLisu akipewa simu huko gerezani af akutane na hii thread nadhani atahairisha mapambano yake ya kutaka kututoa utumwani...
Jamani kiukweli hatuwezi kupata katiba mpya kwa miaka ya hivi karibuni kama mtoa thread atakuwa hai...
Hebu tusubiri ili tujue lengo lake hasa ni niniAmenishangaza