Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

Mkuu kuna familia na familia Sisi kwetu utatimuliwa tu hakuna kukaa Kwa Kaka wala Kwa dada, hivyo vikao na simu kutoka Kwa ndugu, utaondoka bila kuaga, mwenye kukuuliza utaondoka lini huko, mwingine atakwambia kabisa ondoka mwache mwenzio aishi Maisha yake usimpe karaha, mkuu humalizi mwezi utaondoka tu tena bila kinyongo
Familia ya kibabe sana hiyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dawa ya waswahili wasije kwako ni kutokupika chakula na nyumba yenye njaa ainaga wageni , anatakiwa asubuhi chai haipikwi,mchana ugari unapikwa saa kumi jioni.
[emoji3][emoji3][emoji3],lazima watoke nduki
 
Mama mkwe huwezi muondoa kwa kuwa ni wakati wake kulelewa kiuhalisia hata mikiki mikiki ya maisha haiwezi kwa umri wake ila huyo dogo shemeji timua haraka sana.
 
Kwahiyo mzee Pablo vijana tusioe??
ndoa kwa mwanamke ni kitonga,ila kwa mwanaume ni gunia la misumari, mwanamke atakupa pussy tu hayo mengine atakayokupa ni matatizo, pussy
yenyewe hawezi kukupa kama unavyotaka ukatosheka, ukitaka uishi maisha ya stress uzeeke mapema oa,mimi sijaoa ila nimeshazalisha watatu
 
Sisi tusio na mihemko ya kuoa Tuna wachora tu

Yaani haiwezekani kisa papuchi ni muweke Mtu ndani kisha nianze kumuhudumia kila kitu nikikosa kutimiza majukumu yangu nianze kupatwa na stress almanusura kupata nusu uchizi ...Huo ujinga,siwezi kuu'apply katika maisha yangu(mtani samehe)

Kuoa ni kujipa majukumu yasiyo na ulazima na ni kujitakia Kufa mapema (lol)
pussy yenyewe hupewi kwa jinsi unavyotaka, mwanamke atakupa pussy tu, mengine atakayokuachia ni matatizo tu
 
Yaani hapo ndio huwaga nachoka.... yaani pussy ndio inifanye nitaabike kiasi hicho...Aise nita taabika kwaajili ya manufaa yangu mwenyewe na sio vinginevyo
pussy yenyewe hupewi kwa jinsi unavyotaka, mwanamke atakupa pussy tu, mengine atakayokuachia ni matatizo tu
 
Mama mkwe wako katika umri huo uliousema, moja kwa moja anaqualify kuwa ni dependant wa wanawe, mkeo akiwa mmoja wa anaopaswa awategemee kwa asilimia 100. Na kama mama mkwe wako anamtegemea mkeo, automatically anakutegemea wewe. Issue ya kwamba yuko mahali anakaa sehemu na kujitegemea mwenyewe, mlitakiwa mumshukuru Mungu, anawapa ahueni ambayo ni priviledge kwenu wewe na mkeo, siyo right yenu. Kwa hiyo inapofikia wakati wa previledge kuisha, usifanye makosa hayo ya kuanza kuidai kama right. Swala la mama mkwe kuja kwako kwa minajili ya kumsaidia mwanawe kulea mtoto halafu baadaye akabadilisha mawazo na kuamua kukaa moja kwa moja, hakumuondolei haki yake ya msingi ya kuishi kwenu na kuendelea kuwa dependant wenu, kisa tu siku anakuja alisema kuwa angerudi kwake lakni ameamua kutokurudi. Kama itatokea kwa BAHAT MBAYA akarudi tena kwake, hiyo itakuwa previledge kwenu, lakini kama ataamua kubaki, basi anaamua kutumia haki yake ya msingi ambayo si yeye tu anaistahili, bali wazazi wote wenye sifa kama zake.

Kuhusu huyo sehemeji yako,mpe muda kidogo, najua hatimaye atarudi kwao. Tumia hekima zaidi namna ya kuishi naye, kwa sababu hajamaliza hata mwezi. Tuseme kwa mfano angekuja kwako na kukuambia kuwa anapenda akae nyumbani kwako mwezi mzima, ungemkatalia? Sasa nashauri uchukulie kama ni mgeni ambaye amekuja kwako na atakaa mwezi mzima au hata miwili.

Mwisho unanipa wasiwasi kidogo kwamba pengine wewe una kiwango fulani cha uchoyo ambacho binadamu walio wengi hawana, uchoto unaoweza ukapelekea hata ukafukuza mgeni nyumbani kwako bila kuwa amefanya kosa lolote la msingi ila kisa tu amekaa kwako sana kwa muda ambao wewe hukuutarajia. Usije hata siku moja KATIKA MAISHA YAKO YOTE, ukafanya hivyo, NI AMRI SIYO OMBI. Mwanaume tumia ubongo wwako umepewa bure na Mungu wala hujaulipia gharma yoyote!

Nimekuelewa sana, nafanyia kazi huu ushauri
 
ndoa kwa mwanamke ni kitonga,ila kwa mwanaume ni gunia la misumari, mwanamke atakupa pussy tu hayo mengine atakayokupa ni matatizo, pussy
yenyewe hawezi kukupa kama unavyotaka ukatosheka, ukitaka uishi maisha ya stress uzeeke mapema oa,mimi sijaoa ila nimeshazalisha watatu
Halafu ukitoka hapo unasema hutaki kuoa single mother (s) wakati umeharibu watatu huko mitaani, nyie watoto wa kiume Muumba ana waona pia msisahau karma hujirudia
 
Back
Top Bottom