Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu....
Naombeni niwaulize kitu; Hivi mfano ndani kuna Mchele, mafuta, nyanya, kitunguu yaani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu na sio kila siku atakosa hiyo mboga kwa kuwa ni upepo mbaya umepita sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?
Unajua wakuu, huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.
Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.
Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.
Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.