Mama mkwe nimemueleza aje amchukue binti yake kama anaona mimi namtesa

Mama mkwe nimemueleza aje amchukue binti yake kama anaona mimi namtesa

Tumeshawachoka!!! Kuoa mnaoa kimyakimya yakiwakuta mnaleta huku, Huku ndo jalala sio?
Ukiyakoroga uyanywee hukohuko sisi mabachela mbona tunapoa zetu wala hamtusikii tukilalamika hata siku moja?
 
Ndoa ni ya wawili, mkiingiza mtu wa tatu; imeshakufa.
 
Kwa taharifa yako uyo mwanamke akupendi alafu inaonekana amuendani yeye mrefu wewe mfupi. Kama unabisha ngoja pesa ziishe kabisa uone utaachwa mchana peupe.
 
Back
Top Bottom