much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Amuandalie na pension yake kabisa au ampe likizo na malipo juuMuache.. Umeamua kuoa .. Kuoa Ni kumpa ajira mwanamke.. Umemuajiri mwanamke .. Mrudishe kwao ukiwa Sawa kiuchumi utamfata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amuandalie na pension yake kabisa au ampe likizo na malipo juuMuache.. Umeamua kuoa .. Kuoa Ni kumpa ajira mwanamke.. Umemuajiri mwanamke .. Mrudishe kwao ukiwa Sawa kiuchumi utamfata
Ukiona Kipato chako hakitosholezi kuishi na mtoto wa watu....Wakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?
Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.
Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.
Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.
Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.
Hii ndio dawaHatimaye... Tumepata mrithi, pole Boss wangu... Mungu ni mwema mnooo...
Mrudishe nyumbani hakikisha unamrudisha na marafiki zake aliokuzalia
Pole sana mkuuWakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?
Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.
Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.
Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.
Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.
Wakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?

Mwanaume wa aina hii bado hajaumbwa.mwanaume anayestahili kuvumiliwa akifilisika ni yule ambaye hachepuki
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂2 Leg : Live 90+8' NDOA 2 - 5 KATAA NDOA
Aggregate 2 -7
World happiness Qualifiers 2024/2025
Hii ni kubwa sana, kama haya uliyoyaandika hapa unayaishi, bhas uzidi kubarikiwa 🙏🏻Pole sana
Haya maisha haya
Wanaopendwa hawathamini upendo
Kwa maelezo yako mkeo hakupendi
Pole sana
Pamoja na kipato nilichojaliwa alafu mwanaume akupeleke kwanda shoping hata ya elfu 50
Ni moja ya love mark kubwa sana
Jioni hii wakati tunafunga ofisi akaja boda kaagizwa mzigo
Akakaa kusubir boss wake alipie tukawa tunaongea akasema yeye kwa siku analaza 40,000 ila tatizo wanapenda wanawake ila ela wanapata
Naamini pesa ya kula hakosi kama wewe una boda
Ila HAKUPENDI
Na pia wanawake wengi wanaigana wanavyotunzwa na waume zao
Anataka nae umfanyie hivyo hivyo ni ujinga na kitokuangalia future
Na kuendekeza haya mambo ya kutumzana
Matokeo yake mtoto wa watu unamuumiza tu
SijawH kuwa kwenye situation ya ukata sana ila namshukuru Mungu sio materialistic sana
Sijawahi gombana na mume wangu swala la uchumi kabisa ni mambo mengine
Ana pesa zake na anasimamia jukumu la kutulea familia lakini yakitokea ups and down huwa n muelewa kirahisi sana
Sijakulia maisha ya kitajiri
Gari yangu ya kwanza kuendesha ni ya mume wangu na ya kwanza kumiliki nimemununuliwa n mume wangu ila mambo yooote yanatokea naturally tu
Simforce na simuumizi
Kwa sababu jambo moja ambalo nina uhakika nalo ni kwamba nampenda sana mume wangu
Kaa chini chambua
Utagundua mkeo hakupendi
Tatizo lake hatujui kuchagua mke ila tunajua kuchagua demu na kuwazoesha pesa siku tukija kuwaoa na tukaishi nao kiuharisia wa maisha yetu kimbembe kinaanza, Alimzoesha kumpa pesa kipindi cha uchumba na hajawai kumnyima ata siku moja, Mwanamke anatakiwa.muda mwingine akiomba pesa anyimwe hasa kwenye uchumba.Usioe mwanamke asiye na Shukrani.
Asiyejua bajeti
Àmbaye hakupendi
Mwanamke yeyote anayetoa mambo yenu ya ndàni akatoa nje ikiwemo Kwa ndugu Zake au Wazazi wake Bila ninyi kukaa na kuruhusu tàarifa hizô zitoke huyo mfukuze.
Hata Wanaume weñye tàbia za kusema mambo ya Nyumba yake Kwa Wazazi wake ikiwemo madhaifu ya Mkewe, Mke anaruhusa ya kumuacha
Tatizo lake hatujui kuchagua mke ila tunajua kuchagua demu na kuwazoesha pesa siku tukija kuwaoa na tukaishi nao kiuharisia wa maisha yetu kimbembe kinaanza, Alimzoesha kumpa pesa kipindi cha uchumba na hajawai kumnyima ata siku moja, Mwanamke anatakiwa.muda mwingine akiomba pesa anyimwe hasa kwenye uchumba.
Piga chini.....Wakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?
Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.
Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.
Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.
Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.
Wakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?
Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.
Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.
Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.
Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.bk
Amina aminaHii ni kubwa sana, kama haya uliyoyaandika hapa unayaishi, bhas uzidi kubarikiwa 🙏🏻