Mama mkwe nimemueleza aje amchukue binti yake kama anaona mimi namtesa

Wakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?

Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.

Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.

Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.

Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.
Kummake Sisi WANAUME tumeshikwa safari hii.

Hawa watoto wa watu wanatuumiza mioyo Sana.
 
Kwahiyo unahalalisha mwanaume kuchepuka akiwa na hela ila tu mradi asifirisike?

Na mwanamke amvumilie mwanaume mchepukaji kisa hela ipo wanafaidi yeye na michepuko, ila mwanaume akifirisika basi walaumiwe michepuko kwa matumizi (as if mwanamke wa ndoa hakutumia) kisha mwanamke amuache mume mufirisi?

Sasa unaitaja ndoa au umalaya.
Umepiga kisawasawa akikujibu nitag
 
Wakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?

Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.

Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.

Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.

Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.
Gentleman,
Kwanza hongera sana kwa ustahilivu, uwazi na ungwana wa kiwango cha juu sana kushirikisha wadau songombingo za ndoa yako,

Lakini pili, gentleman hayo ndiyo maisha ya wapendanao wanaoelekea kufanikiwa pakubwa..

Ongeza ustahilivu, ongeza uvumilivu,hekima na busara zaidi katika kupita na kuishinda hali na changamoto hiyo ambayo familia nyingi mno wanaipitia kwasasa..

Uchumi unatikisa imani, matumaini na upendo ndani ya ndoa nyingi sana saivi...

chukulia tu kwamba huo ni miongoni mwa upepo mbaya tu kama ule wa kukosa mboga siku moja moja kwasababu ya upepo mbaya wa kiuchumi unaopitia sasa...

Usikate tamaa mwanaume, acha akushitaki popote, wewe zidisha juhudi na bidii katika kufanya kazi, huku ukimtanguliza Mungu katika kila hatua, na kumuomba akujalie wepesi katika ugumu wa maisha na ndoa unaopitia, na zaidi sana akuonyeshe njia ya kupita kirahisi jaribu linalokukumba hivi sasa..

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe katika ndoa yako, kazi na majukumu yako ya kujiongezea kipato daima.
Aimen 🙏
 
Si muachane,kwani kuachana ni jambo la kushangaza sikuhizi.... mwanamke akikupendea pesa ukichacha na penzi limekufa anaanza kukuona kama nguchiro.... akikupendea mkuyenge na pesa at least utabaki mkuyenge....ukiishiwa pesa mwanaume mkuyenge nao unaanza kusuasua basi hapo pia unaachwa 🤣🤭🥴
Unapenda mkuyege kweli wewe?
 
FB_IMG_17280968450633406.jpg
 
Wakuu...naombeni niwaulize kitu...,hivi mfano ndani kuna Mchele,mafuta,nyanya,kitunguu,..yani kila kitu ambacho kinawezesha mtu kupika na akala kasoro mboga tu...na sio kila siku atakosa hio mboga kwakuwa ni upepo mbaya umepita..sina kazi saivi je? ni halali kusema ninamtesa mtu?

Unajua wakuu ...huyu mwanamke hajui ni kiasi gani naumia,napata shida kila siku kumuelimisha maisha ni yetu na sio ya majirani.

Anampigia mama ake huku analia kuwa mimi siachi hela,,anasahau mda huohuo mimi nimefukuzwa kazi kwa wachina sababu ya kesi ya uwizi wa mataili ...naipambania sana familia yangu ..mimi kuna mda nilikuwa natembea kwa mguu msasani hadi makumbusho ili tu tusizalilike ikitokea emergency yoyote tuwe na kiasi cha kusolve mle ndani..Mimi sio mtu wa kuenda kuombaomba hela kwa mtu sipendi kuazimwa hela.

Kuna siku nilimchukua hadi kariakoo nikamnunulia magauni mawili kila moja ni 85000,...hapo kidogo nikaona amefurahi,..ila nilimwambia najua hio ni furaha ya muda kwakuwa najua ninachokifanya ni sawa na kazi bure tu.

Ujue saivi ,,huyu mwanamke ananunanuna sana au naweza mpa maelekezo asiyafate kwa wakati hadi niaamua kuifanya hio kazi mwenyewe..
Maisha yamebadilika sana kwangu kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi ...nilikuwa na akiba ya mil4 ndio nikafungua duka la kuuza maji ili akae dukani ila na nyingine nikanunua boda...sasa huwa simuelewi ananiambia mimi nafanya yote kwa ajili yangu kitu ambacho sio kweli..anataka tugawane faida..yani pale dukani mfano akiuza 40000...bhasi 20 yake ishirini yangu.

PAULO DYABALA naona sasa unapelekewa wewe mashambulizi striker wangu. Huyu mwanamke ni kabila gani?, tafadhali usimwache ila mpigie mamake umwambie mwanao hana uvumilivu kama mke, mweleze mtanziko wote huu ulio nao, halafu wasikilize. Wakisema bado hauko sawa, waambie wamchukue binti yao, atakukausha damu usipoangalia.
 
Mkuu mafundi wote tunafanya hivo pale kwa mchina ...mimi ni kama ilikuwa Bahati mbaya
Sio bahati mbaya wewe ni mwivi, kuiba sio jambo la kuona ni kawaida ni dhambi, nadhani katika amri za Mungu wizi umekatazwa. Hivi unadhani yale matairi uliyokuwa unaiba au chochote kimedondoka kutoka mawinguni? Kuna mtu umekuwa unamuibia, na mshahara wa dhambi ndio huu unapambana nao sasa tena ushukuru huko jela, ungekuwa umefungwa muda huu na watu wanaishi na mkeo na mamako mkwe hapo kwako.
Naamini kuna wenzio ambao hawakuiba bado wako kazini.

Najua hapa kwenye kuiba nawagusa wengi sana, watu wamesha ona kuiba kazini ni kama baraka hivi. Wenyewe eti wanaita kujiongeza 😕
 
Si muachane,kwani kuachana ni jambo la kushangaza sikuhizi.... mwanamke akikupendea pesa ukichacha na penzi limekufa anaanza kukuona kama nguchiro.... akikupendea mkuyenge na pesa at least utabaki mkuyenge....ukiishiwa pesa mwanaume mkuyenge nao unaanza kusuasua basi hapo pia unaachwa 🤣🤭🥴
Fuata huu ushauri wa mwanamke.
 
Back
Top Bottom