Mama Mkwe wangu ananivunjia heshima

Nilikua na mama mkwe wangu Mnyarwanda wa Bukoba. Cha moto nilikiona sitasahau maisha yangu yote😂
 
Mrejesho jamani.. mamkwe bado anakusumbua?
 
Mle huyo mama..
 
Kiufupi kama unaishi kama unaishi kwenye nyumba ukifungua mlango tu unatoka nje, hutakiwi kutembelewa si na mama mkwe tu bali hata na ndugu mwingine, ona sasa umebadilishia nguo bafuni.., anyway vingine sio vya kuomba ushauri ni kumwambia mwanae amtoe mzazi wake kutokana na kile alichofanya...au mnaheshimiana kama unavyosema kiasi kwamba itaonekane unamkosea heshima ukimwambia amwondoe mama yake.

Wacheza faulo huwa tunawabadilishia ratiba, kama yeye kaingiza mtu ghetto anajua kwamba ukitoka nae anamtoa mtu wake, basi wenzako ndo husogeza mahindi au karanga jirani na mlango na kupuchukua siku zima ikiwezekana unaalika na wananzengo wakusaidie ila huwaambii kinachoendelea ndani
 
Hivi kama hamuwezi kuoa na hamkujipanga kwanini mnaingia kwenye ndoa wakati hamna akili.

Wewe huyo sijui ndo mama yako mkwe amekudharau na huyo mwanamke wako naye pimbi tu.Wewe kwa kifupi ndo umeolewa na hivyo jiandae kutumikia ndoa.

Mama mkwe inabidi akuogope maana ya kwamba akileta masikhara, unapiga PIPE na yeye kama MTOTO WAKE,ni dharau iliyoje wanakuja kuzini nyumbani kwako. Wewe ni lofa kabisa hakuna ushauri utapewa hapa changamka kijana acha kujifanya GENTLEMAN utachapiwa huyo mwanamke na mabinamu zake.
 
Unisamehe blaza
 
kwa hizi tabia na matendo na kauli zake nafika hatua natamani kuamua niishi kwa kutoelewana nae ili niweke mipaka ya kutozoeana kwa Afya ya ndoa yangu. Naomba maoni na ushauri wa wadau tafadhali"
Maoni yangu ni hayo tu.
 
Wewe ni Mjinga na unaonekana hujakamilika kama Mwanaume kamili yaani Mama Mkwe analeta mwanaume wake kwenye kitanda unacholala na Mkeo unahisi kwa nini kafanya hivi?sababu kubwa jitathmini kama ni mwanaume kamili au lah Asante
Naongezea,kwa nini akalime Ukweni?hana kwao?
 
Yaani nyumbani kwangu, mama mkwe alete mwanaume halafu mimi nikalale guest house? Huu ukichaa siwezi fanya. Kama ameshindwa kuniheshimu, na mimi sina haja ya heshima. Ningefukuza usiku huo huo, kama ndoa na ife. Pumbavu zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…