mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Uzi ufungweMpige miti atashika adabu
Jibu hili ndy sahihi kabisa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi ufungweMpige miti atashika adabu
Mimi ni mshauri nasaha , hua wananiomba ushauriMbona wewe ni George na umeolewa na mimba umeshika.
Ndoa yako ilibarikiwa na papa mwenyewe nini?
Hii stori sijailewa na wala sitaki kuuliza nawacha ipuyange kama nilivyoikuta!Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 10 sasa, na sasahivi nina ujauzito wa miezi 8. Mimi na mume wangu tuko vizuri. Kwa sababu niliambiwa nisisafiri, mama mkwe wangu amekuja kunihudumia uzazi. Si mtu mzima sana, ana kama miaka 55.
Kuna kitu sikielewi, mpaka nahisi kuwa labda mimi ndiyo nina matatizo. Mama mkwe wangu tunaongea vizuri, lakini shida iko katika kuvaa. Yaani, yeye anaweza kuvaa nguo fupi mpaka akiinama, chupi inaonekana. Akikaa, bila kujali kama mimi nipo au la, mapaja yake yanaonekana nje.
Wakati mwingine, anaweza kuvaa nguo za ndani tu, akafunga khanga. Mume wangu yupo, sasa wakati wa kurekebisha khanga, akaifungua mpaka chupi inaonekana tena mbele ya mume wangu bila kujali.
Mimi ndiyo naona aibu, kaka, na sijui ni kwa namna gani namuambia mume wangu kuwa si kitu kizuri. Jana, alivaa nguo ya kulalia ambayo inaonyesha mpaka rangi ya chupi, na juu hakuvaa sidiria, hivyo matiti yake yanaonekana, na wala hajali kuwa mume wangu yupo.
Kuna siku nikiwa chumbani, natoka, namkuta kakaa na mume wangu, amepandisha miguu juu kwenye kochi, mapaja yake yote yanaonekana nje, chupi inachungulia. Kuniona, ndiyo ameshusha miguu tu, na kuniongelesha kama vile hakuna kitu kimetokea.
Kaka, nashindwa kuelewa. Hivi ni kwamba mimi ndiyo mshamba, labda huu ni uzungu, au kuna shida hapa? Mume wangu kwao wako wawili, ana dada yake ambaye naye anakuja mara kwa mara.
Ila cha ajabu, dada yake akija, mama mkwe wangu anavaa vizuri tu. Sijamuona akivaa hivi wakati wifi yangu akiwepo. Nishauri, kaka, ni mimi nina shida, au kuna tatizo hapa?
View attachment 2860043
Fupi ? Kutoka kiunoni inafika wapi?Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 10 sasa, na sasahivi nina ujauzito wa miezi 8. Mimi na mume wangu tuko vizuri. Kwa sababu niliambiwa nisisafiri, mama mkwe wangu amekuja kunihudumia uzazi. Si mtu mzima sana, ana kama miaka 55.
Kuna kitu sikielewi, mpaka nahisi kuwa labda mimi ndiyo nina matatizo. Mama mkwe wangu tunaongea vizuri, lakini shida iko katika kuvaa. Yaani, yeye anaweza kuvaa nguo fupi mpaka akiinama, chupi inaonekana. Akikaa, bila kujali kama mimi nipo au la, mapaja yake yanaonekana nje.
Wakati mwingine, anaweza kuvaa nguo za ndani tu, akafunga khanga. Mume wangu yupo, sasa wakati wa kurekebisha khanga, akaifungua mpaka chupi inaonekana tena mbele ya mume wangu bila kujali.
Mimi ndiyo naona aibu, kaka, na sijui ni kwa namna gani namuambia mume wangu kuwa si kitu kizuri. Jana, alivaa nguo ya kulalia ambayo inaonyesha mpaka rangi ya chupi, na juu hakuvaa sidiria, hivyo matiti yake yanaonekana, na wala hajali kuwa mume wangu yupo.
Kuna siku nikiwa chumbani, natoka, namkuta kakaa na mume wangu, amepandisha miguu juu kwenye kochi, mapaja yake yote yanaonekana nje, chupi inachungulia. Kuniona, ndiyo ameshusha miguu tu, na kuniongelesha kama vile hakuna kitu kimetokea.
Kaka, nashindwa kuelewa. Hivi ni kwamba mimi ndiyo mshamba, labda huu ni uzungu, au kuna shida hapa? Mume wangu kwao wako wawili, ana dada yake ambaye naye anakuja mara kwa mara.
Ila cha ajabu, dada yake akija, mama mkwe wangu anavaa vizuri tu. Sijamuona akivaa hivi wakati wifi yangu akiwepo. Nishauri, kaka, ni mimi nina shida, au kuna tatizo hapa?
View attachment 2860043
Atakuwa ameishasimuliwa na bintiye jinsi unavyomgegedà vizuri. Anataka kupima kina cha maji kwa miguu miwili huyo. Akina mama wana majaribu sana aisee!Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 10 sasa, na sasahivi nina ujauzito wa miezi 8. Mimi na mume wangu tuko vizuri. Kwa sababu niliambiwa nisisafiri, mama mkwe wangu amekuja kunihudumia uzazi. Si mtu mzima sana, ana kama miaka 55.
Kuna kitu sikielewi, mpaka nahisi kuwa labda mimi ndiyo nina matatizo. Mama mkwe wangu tunaongea vizuri, lakini shida iko katika kuvaa. Yaani, yeye anaweza kuvaa nguo fupi mpaka akiinama, chupi inaonekana. Akikaa, bila kujali kama mimi nipo au la, mapaja yake yanaonekana nje.
Wakati mwingine, anaweza kuvaa nguo za ndani tu, akafunga khanga. Mume wangu yupo, sasa wakati wa kurekebisha khanga, akaifungua mpaka chupi inaonekana tena mbele ya mume wangu bila kujali.
Mimi ndiyo naona aibu, kaka, na sijui ni kwa namna gani namuambia mume wangu kuwa si kitu kizuri. Jana, alivaa nguo ya kulalia ambayo inaonyesha mpaka rangi ya chupi, na juu hakuvaa sidiria, hivyo matiti yake yanaonekana, na wala hajali kuwa mume wangu yupo.
Kuna siku nikiwa chumbani, natoka, namkuta kakaa na mume wangu, amepandisha miguu juu kwenye kochi, mapaja yake yote yanaonekana nje, chupi inachungulia. Kuniona, ndiyo ameshusha miguu tu, na kuniongelesha kama vile hakuna kitu kimetokea.
Kaka, nashindwa kuelewa. Hivi ni kwamba mimi ndiyo mshamba, labda huu ni uzungu, au kuna shida hapa? Mume wangu kwao wako wawili, ana dada yake ambaye naye anakuja mara kwa mara.
Ila cha ajabu, dada yake akija, mama mkwe wangu anavaa vizuri tu. Sijamuona akivaa hivi wakati wifi yangu akiwepo. Nishauri, kaka, ni mimi nina shida, au kuna tatizo hapa?
View attachment 2860043
Namshangaa anakuja hapa kulialia badala ya kupiga show ya kibabe na mama mkwe. Watu wanalamba hadi mama zao itakuwa mama mkwe! Mxiiiiiiiii!!Acha ushamba tandika mam mkwe vzr kbsa
Unatamani kuwa nafsi ya kike?Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 10 sasa, na sasahivi nina ujauzito wa miezi 8. Mimi na mume wangu tuko vizuri. Kwa sababu niliambiwa nisisafiri, mama mkwe wangu amekuja kunihudumia uzazi. Si mtu mzima sana, ana kama miaka 55.
Kuna kitu sikielewi, mpaka nahisi kuwa labda mimi ndiyo nina matatizo. Mama mkwe wangu tunaongea vizuri, lakini shida iko katika kuvaa. Yaani, yeye anaweza kuvaa nguo fupi mpaka akiinama, chupi inaonekana. Akikaa, bila kujali kama mimi nipo au la, mapaja yake yanaonekana nje.
Wakati mwingine, anaweza kuvaa nguo za ndani tu, akafunga khanga. Mume wangu yupo, sasa wakati wa kurekebisha khanga, akaifungua mpaka chupi inaonekana tena mbele ya mume wangu bila kujali.
Mimi ndiyo naona aibu, kaka, na sijui ni kwa namna gani namuambia mume wangu kuwa si kitu kizuri. Jana, alivaa nguo ya kulalia ambayo inaonyesha mpaka rangi ya chupi, na juu hakuvaa sidiria, hivyo matiti yake yanaonekana, na wala hajali kuwa mume wangu yupo.
Kuna siku nikiwa chumbani, natoka, namkuta kakaa na mume wangu, amepandisha miguu juu kwenye kochi, mapaja yake yote yanaonekana nje, chupi inachungulia. Kuniona, ndiyo ameshusha miguu tu, na kuniongelesha kama vile hakuna kitu kimetokea.
Kaka, nashindwa kuelewa. Hivi ni kwamba mimi ndiyo mshamba, labda huu ni uzungu, au kuna shida hapa? Mume wangu kwao wako wawili, ana dada yake ambaye naye anakuja mara kwa mara.
Ila cha ajabu, dada yake akija, mama mkwe wangu anavaa vizuri tu. Sijamuona akivaa hivi wakati wifi yangu akiwepo. Nishauri, kaka, ni mimi nina shida, au kuna tatizo hapa?
View attachment 2860043
We George ndio umeolewa na una mimba ya miezi 8 ?Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 10 sasa, na sasahivi nina ujauzito wa miezi 8. Mimi na mume wangu tuko vizuri. Kwa sababu niliambiwa nisisafiri, mama mkwe wangu amekuja kunihudumia uzazi. Si mtu mzima sana, ana kama miaka 55.
Kuna kitu sikielewi, mpaka nahisi kuwa labda mimi ndiyo nina matatizo. Mama mkwe wangu tunaongea vizuri, lakini shida iko katika kuvaa. Yaani, yeye anaweza kuvaa nguo fupi mpaka akiinama, chupi inaonekana. Akikaa, bila kujali kama mimi nipo au la, mapaja yake yanaonekana nje.
Wakati mwingine, anaweza kuvaa nguo za ndani tu, akafunga khanga. Mume wangu yupo, sasa wakati wa kurekebisha khanga, akaifungua mpaka chupi inaonekana tena mbele ya mume wangu bila kujali.
Mimi ndiyo naona aibu, kaka, na sijui ni kwa namna gani namuambia mume wangu kuwa si kitu kizuri. Jana, alivaa nguo ya kulalia ambayo inaonyesha mpaka rangi ya chupi, na juu hakuvaa sidiria, hivyo matiti yake yanaonekana, na wala hajali kuwa mume wangu yupo.
Kuna siku nikiwa chumbani, natoka, namkuta kakaa na mume wangu, amepandisha miguu juu kwenye kochi, mapaja yake yote yanaonekana nje, chupi inachungulia. Kuniona, ndiyo ameshusha miguu tu, na kuniongelesha kama vile hakuna kitu kimetokea.
Kaka, nashindwa kuelewa. Hivi ni kwamba mimi ndiyo mshamba, labda huu ni uzungu, au kuna shida hapa? Mume wangu kwao wako wawili, ana dada yake ambaye naye anakuja mara kwa mara.
Ila cha ajabu, dada yake akija, mama mkwe wangu anavaa vizuri tu. Sijamuona akivaa hivi wakati wifi yangu akiwepo. Nishauri, kaka, ni mimi nina shida, au kuna tatizo hapa?
View attachment 2860043
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha 🤣🤣🤣.George Aloyce halafu umeolewa!!
Papa Fransisco ameshatuletea shida.