Kuvaa kwake kusiwe makwazo kwa wengine tuache ubinafsi.Nguo zake na kuvaa kwake kunakuhusu nini wewe?
Hakika... umenena vyema...
ampige miti?Mpige miti atashika adabu
Kwa hiyo aliyeshika mimba si wewe?Mimi ni mshauri nasaha , hua wananiomba ushauri
Dahh🤣🤣🤣🤣Mbona wewe ni George na umeolewa na mimba umeshika.
Ndoa yako ilibarikiwa na papa mwenyewe nini?
Ndio mkuuampige miti?
Ni mshauri mambo ya mahusiano
Mimi ni mshauri mambo ya mahusiano ,ukiwa na tatizo nichekiKwa hiyo aliyeshika mimba si wewe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkwe wa mwendokasi.