Mama mkwe wangu anavaa nguo fupi mbele yangu, naombeni ushauri jamani

Eti miaka 10 ? Hujamjua mkweo? Au nyie mnachepukiana tu?
 
Ukiona mwanamke anavaa nguo fupi means ndani mwake kuna roho ya ukahaba
 
George Aloyce, dume linaolewa! Mbona mama mkwe amevaa vizuri tu! Unamsingizia eeeeeh?
 
Kuna siku nikiwa chumbani, natoka, namkuta kakaa na mume wangu, amepandisha miguu juu kwenye kochi, mapaja yake yote yanaonekana nje, chupi inachungulia. Kuniona, ndiyo ameshusha miguu tu, na kuniongelesha kama vile hakuna kitu kimetokea.
Mama mkwe ni singo madha? Kwa ufupi anamtaka mmeo !
 
Mmmmmmnh 🏳️‍🌈huyo sema atakua ni legend anamama mkwe na kabeba hadi mimba , sema ni sawa maana mama nkwe si anavaa hivyo anamtamanisha maana hyo si 🏳️‍🌈ko anaweza muhudumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…