mama mlezi.mwenye mapenzi ya dhati

mama mlezi.mwenye mapenzi ya dhati

munimuni

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
110
Reaction score
69
Message…nimerudi tena msinichoke maisha ya mahusiano naona ikuumbiwa mm ila kuwa mama ni baraka natafuta mwanaume mkaka mbaba mwenye watt lakn hayupo na.mama watoto wake anaeitaji kusaidiana kwenye ulezi lakini sio mke wala
msichana wa Kazi aliye na sifa anitafute watt wakiwa wadogo ni vizuri zaidi pia bila malipo
 
Watakuja wenye roho za chuma...wanaoweza kumwamini stranger awalelee watoto
 
Kwa nini unaweka nukta kila baada ya neno?
Eniwei kila la kheri
 
Samahani,naomba kukuuliza
Wewe uko wapi kimakazi
Unahitaji mwanauwe Wa sehemu gani?
Je unajitolea kulea tu au uko tayari Kwa huduma za kuwa mama Kwa baba Wa watoto?.
Je kama hana Mtoto ila akiwa tayari na wewe uko tayari?
Je unaweza kwenda mkoa ambao atakuwepo?
Umri wako na udhoefu wako ukoje?
Wewe unawatoto,na kama unao,je unataka na yeye awalee au LA!??
 
Kuna mmoja humu alisema anahitaji kuwa baba Wa kuhudumia watoto mwanamke Ila hataki sex
 
Samahani,naomba kukuuliza
Wewe uko wapi kimakazi
Unahitaji mwanauwe Wa sehemu gani?
Je unajitolea kulea tu au uko tayari Kwa huduma za kuwa mama Kwa baba Wa watoto?.
Je kama hana Mtoto ila akiwa tayari na wewe uko tayari?
Je unaweza kwenda mkoa ambao atakuwepo?
Umri wako na udhoefu wako ukoje?
Wewe unawatoto,na kama unao,je unataka na yeye awalee au LA!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Message…nimerudi tena msinichoke maisha ya mahusiano.naona.sikuumbiwa mm ila kuwa mama.ni.baraka.natafuta mwanaume.mkaka.mbaba mwenye watt.lakn.hayupo na.mama.watoto wake.anaeitaji.kusaidiana.kwenye ulezi.lakini sio.mke.wala
msichana.wa.Kazi.aliye na.sifa anitafute.watt wakiwa wadogo.ni.vizuri zaidi.pia.bila.malipo
Dini yako Tafadhari?
 
Huku jf kila mtu anakuja na shida zake kwa kweli!!!
 
Back
Top Bottom